Never say never, labda ni genuine! Isipokuwa nina mashaka na ndio maana sioni kama ni mtu mwenye agenda straight kwenye mambo ya Afrika zaidi ya kutafuta nafasi ya utukufu...kiongozi wa united states of Africa.Kitu ambacho mnasahau ni kwamba Gadafi alijutia baada ya kumsaidia Amin. Alimtimua Amina Libya na Amin akakimbilia Saudi Arabia. Gadafi hajasahau kwamba Nyerere alimrudishia wanajeshi wake waliokamatwa vitani Uganda bila kudai compesation. And Gadafi has said such in public. He has an affection for Tanzania and I believe him to be genuine.
Watu wamemsifu Ghadaffi kwa kusaidia Tanzania (mafuriko).Tukumbuke huyu jamani alimsaidia Muislamu mwenzake Idd Amin Dada alipovamia Tanzania.Tangu siku hizo sijamuamini kabisa.
Do you think kama Tanzania tungekuwa na uhusiano na state ya Israel angetusaidia?Kwa hiyo suala linakuja ,kwa nini nchi yetu mpaka leo,
tumeshindwa kuwa na ubalozi huko nchini Israel wakati walitoa mchango mkubwa sana katika ujenzi wa landmark buildings kama Kilimanjaro hotel etc?
Huyu ni mnafiki tu kama wanafiki wenzake wa Saudi arabia waliompatia Idd Amin Hifadhi, Ghadafi hana lolote, hana nia njema yoyote kwa nchi yetu zaidi ya kueneza deen yake kwa kutumia hela zake za mafuta kuwarubuni maskini wa Kilosa. Alijaribu kueneza deen yake mwaka 77-79 kwa kumsaidia Idd Amin Dada kwa fedha silaha na wanajeshi akashindwa, sasa anataka kuja kwa gear nyingine na kujifanya ana huruma na watanzania wakati alikua mstari wa mbele kumpatia Idd Amini silaha ili aue watanzania.
Huyu ni nyoka ambae asingetakiwa kuruhusiwa kutia mguu wake katika ardhi ya Tanzania. Kwanza angetakiwa aje kuomba radhi watanzania kwa kuwaua watanzania sio kujifanya mwema.
Anadhani watanzania tumesashau kuwa alikua kipenzi cha katili bin Jeuri Idd Amin Dada, muuaji alierudisha nchi yetu nyuma kiuchumi?
Bull,tunazumgumzia Ghadafi,sio South Africa.Huyu Ghadafi alisaidia Idd Amin,mwislamu mwenzake dhidi ya nchi yetu,period!!!You know Amin aliishia Saud kwa waislamu wenzake.
Nafikiri Nyerere angekuwepo leo,huyu Ghadafi asingetoa huu msaada .Anataka kuinfluence Tanzania na Uislamu wake.EPA walizoiba mafisadi na wahindi ,zinatosha kabisa kuwasaidia wananchi.Be real man!
watu wanavyozeeka na kuelekea mbinguni wanakuwa na huruma sana!....Watu wamemsifu Ghadaffi kwa kusaidia Tanzania (mafuriko).Tukumbuke huyu jamani alimsaidia Muislamu mwenzake Idd Amin Dada alipovamia Tanzania.Tangu siku hizo sijamuamini kabisa.
Do you think kama Tanzania tungekuwa na uhusiano na state ya Israel angetusaidia?Kwa hiyo suala linakuja ,kwa nini nchi yetu mpaka leo,
tumeshindwa kuwa na ubalozi huko nchini Israel wakati walitoa mchango mkubwa sana katika ujenzi wa landmark buildings kama Kilimanjaro hotel etc?
Bull,tunazumgumzia Ghadafi,sio South Africa.Huyu Ghadafi alisaidia Idd Amin,mwislamu mwenzake dhidi ya nchi yetu,period!!!You know Amin aliishia Saud kwa waislamu wenzake.
Nafikiri Nyerere angekuwepo leo,huyu Ghadafi asingetoa huu msaada .Anataka kuinfluence Tanzania na Uislamu wake.EPA walizoiba mafisadi na wahindi ,zinatosha kabisa kuwasaidia wananchi.Be real man!
Watu wamemsifu Ghadaffi kwa kusaidia Tanzania (mafuriko).Tukumbuke huyu jamani alimsaidia Muislamu mwenzake Idd Amin Dada alipovamia Tanzania.Tangu siku hizo sijamuamini kabisa.
Do you think kama Tanzania tungekuwa na uhusiano na state ya Israel angetusaidia?Kwa hiyo suala linakuja ,kwa nini nchi yetu mpaka leo,
tumeshindwa kuwa na ubalozi huko nchini Israel wakati walitoa mchango mkubwa sana katika ujenzi wa landmark buildings kama Kilimanjaro hotel etc?
Kwani huo ujenzi wao si tuliwalipa?
Na ukumbuke pia huwa wanabaki na kopi za structure kwani ukiingalia filam ya "The raid to Entebe", '90 minutes to Entebe' walitumia ramani ya ujenzi ambao ndiyo wao walikuwa wajenzi na kuondoka na mateka wao kule Entebe
Kwa hiyop ni watu wa kukuumbua kwenye usalama wa taifa ni waaribifu wajamaa hawafai.