Kanali Ghadaffi na Tanzania

Kanali Ghadaffi na Tanzania

REv Kishoka naona umemuunga mkono Tumaini ambaye ni muislamu anasupport suicide bombers,anataka Zenji yake,na Waarabu wake ndio anawahusudu kuliko mtu yoyote.

Tumaini,kama Wazenj wengi huko UK,wamejilipua ,lakini bado wanaenjoy benefit za Mzungu,lakini hawana shukrani.Nasema siwezi kumhusudu Mwarabu !
Tumaini kama uko passionate na Palestine kajilipue huko uuwe Majew,uenda mbinguni kwa Allah wako.Au kajiunge na Al Shabaab.

Fact ni kwamba rafiki yako Ghadaffi alimpa mwislamu mwenzako msaada wakati alituzamia Tanzania.Target ilikuwa hata Bugando hospital,ambapo Wajew waliijenga.
Idd Amini alistaafu kwa Wasaud,ambao wamekujengea misikiti mingi Tanzania.

Watanzania tuslikubali Islamisation,otherwise tutakuwa kama Pakistan,Iraq,Iran etc.

Mimi nawa support wapelastina kwasababu wanadhulumiwa na waisrael, wamevamiwa, wanauliwa kwenye nchi yao eti nchi waliahidiwa na kitabu chao cha kikristo wtf! mimi babu yangu ameniambia eti sisi tunatoka south africa je sasa naweza kurudi nakuua watu huko

Mimi nawachukia wakristo (viongozi) wao kina bush, Bliar waliopeleka jeshi lao iraq na afghanistani na kuua watoto bila hatia eti wanaeneza dini yao ya ukristo

its about humanity..wewe lia lia tu..huwezi kubadilisha reality na ukweli chuki itakuua ndugu..deep inside una chuki mpaka unakosa busara
 
Mmakonde,

Unataka niambia katika Historia ya Ukristo hapajawahi kufanyika vitendo vya kifedhuli na umwagaji damu ambako ni kinyume na mafundisho ya Mungu katika kampeni ya kusambaza Ukristo?

Je Ukoloni ulipoingia Afrika na kuanza kuchoma watu moto na kuwapeleka mateka utumwani kwa Jina la Mungu au Ubaguzi wa Rangi kwa Jina la Mungu na Yesu, nako tusemeje?

Au ulimbukeni ni kuona kibanzi kwa mwenzako lakini ukungu wa boriti kwenye jicho lako huuoni?
unaweza tupa ushahidi wa mojawapo ya wakoloni waliochoma watumwa moto ili tujifunze vizuri historia hii mpya? harafu tambua kuwa mtu afanyapo mabaya ni kwa faida ya mwili wake si kwa ajiri ya Mungu anayemwabudu, NA NDIYO MAANA HATA WANAKATAA KULA NYAMA YA NGURUWE KWA MADAI KUWA NI HARAMU kwa faida ya miili yao lakini wake za si haramu, kuroga si haramu, kusoma albadil mtu adhulike si haramu, kuoa wake 3, 4 si haramu wakati hata kwa mujibu wa kampeni za ishi tu ni haramu mtu kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja, hivi unataka kuniambia kuwa Allah amezidiwa akili na watu wa kampeni za ukimwi? Pia Mungu aliyekataza kula kitimoto, alikataza pia na ngamia lakini waislmu tena waasisi wa imani hiyo ambao ni waarabu wamemfanya ngamia kuwa kitoweo, na maziwea yake kuwa kinywaji kizuri, Mungu huyo huyo alikataza pia kula samaki wasiyo na magamba leo Waarabu hawali pweza kwa madai kuwa ni jini bahari, lakini waslamu wa tanzania wanafakamia pweza sasa hapo vip
 
Ningependa Tanzania ambayo haipokei chochote toka nje.Kama nchi rafiki zitaamua that is good!Mwarabu atakupa msaada kwa kukujengea misikiti kibao,Mje technical assistance,hiyo ni fact kwa tanzania miaka mingi sasa!
ajenge misikiti ili mwongezeke muwe wengi mwanze kujilipua kwa imani zenu za kihuni za WAISLAMU wenye msimamo mkali eeee? hao wwanamwabudu mungu gani kama si shxxxxxni maana ndiye mwenye msimamo mkali dhidi ya Mwenye enzi Mungu. maana huwezi kulipua watu wasiyo na hatia nje harafu jioni uende msikitini useme allah akubar, allah akubar gani na umeua watu weye?
 
keep on crying baby

misikiti itajengwa with or without qadafi

waislamu watapeta iwe wewe wapenda au hupendi pole
 
unaweza tupa ushahidi wa mojawapo ya wakoloni waliochoma watumwa moto ili tujifunze vizuri historia hii mpya? harafu tambua kuwa mtu afanyapo mabaya ni kwa faida ya mwili wake si kwa ajiri ya Mungu anayemwabudu, NA NDIYO MAANA HATA WANAKATAA KULA NYAMA YA NGURUWE KWA MADAI KUWA NI HARAMU kwa faida ya miili yao lakini wake za si haramu, kuroga si haramu, kusoma albadil mtu adhulike si haramu, kuoa wake 3, 4 si haramu wakati hata kwa mujibu wa kampeni za ishi tu ni haramu mtu kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja, hivi unataka kuniambia kuwa Allah amezidiwa akili na watu wa kampeni za ukimwi? Pia Mungu aliyekataza kula kitimoto, alikataza pia na ngamia lakini waislmu tena waasisi wa imani hiyo ambao ni waarabu wamemfanya ngamia kuwa kitoweo, na maziwea yake kuwa kinywaji kizuri, Mungu huyo huyo alikataza pia kula samaki wasiyo na magamba leo Waarabu hawali pweza kwa madai kuwa ni jini bahari, lakini waslamu wa tanzania wanafakamia pweza sasa hapo vip

Anyisile,

Una umri gani? Nauliza hivi maana inawezekana mwenzangu wewe Historia ya Biashara ya Utumwa unayosoma inawezekana ni ile iliyochujwa ya kumfanya Mzungu aonekane ni shujaa na mtu bora!

Anyway nitakusaidia.

Wareno, Wahispania, Waingereza, Wafaransa, Wajerumani, Wadachi na Wazungu wote (Mataifa) ambayo yaliwahi na kuwa na koloni sehemu yoyote ile duniani, yalimwaga damu, kuchoma watu na kunyanyasa watu kwa kutumia hata dini.

Nenda Marekani ya Kusini kwa wale natives wa Mayans na Wahindi wekundu uone walivyonyanyaswa na wakoloni huku Kanisa likifumba macho udhalimu na uonezi.

Njoo Afrika, ukoloni na utumwa umefanyika huku kanisa likikaa kimya na kunufaika kutokana na matunda ya ukoloni na mataifa mama!

Kama kweli Ukristo ulioletwa kwetu Afrika na Mzungu ulisimamia haki, basi ungeepiga vita Ukoloni, Unyonyaji, Utumwa na Uonevu uliofanywa kwa miaka zaidi ya 200!
 
Hivi karibuni South Africa walikuwa wanabagua weusi wakitumia biblia kuhalalisha uovu wao...

Rev. mijitu mengine iko brainwashed wanatumia emotions hawako rational
 
gadaphi ni hypocret, na sisi kama omba omba vile-hata misaada ambayo haina tija kwa ustawi wa taifa tunapokea tu.Lazima tuangalie-yeye kimemuuma nini au ana agenda gani ya kutusaidia? au ndo anataka kufanya mambo mengine mabaya zaidi ya enzi za idd amini? uvivu ndo unaotucost.tufanye kazi ili tujenge nchi yetu kwa maendeleo ya watanzania woote.let us stop beging to be helped whatever we go.Ni aibu!!
 
Inavyoonekana kwa muanzishaji mada hii na wachangiaji wengine tatizo si msada aliotowa Muamar Gaddafi bali tatizo ni imani yake ya kidini. Kama kuna wenye udini basi ni hawa jamaa sio yeye kwani yeye hajasema kuwa msada huo uwanufaishe waislamu na sio wanaoamini itikadi nyingine za kidini. Yeye hajatamka mambo ya dini hapa. Wao wanaolileta hili la udini ndio wao wenye tatizo hilo. Inasikitisha kuwa na jamaa kama hawa miongoni mwetu!!!!!
 
waeleze msaada wa qadafi ni sawa wangu nilioutoa kwa tpn, hauna uhusiano wowote na dini, ila kuna watu huku wakiona mwaarabu na muislamu chuki zao zinafumuka, wanakosa busara..tutapambana nao kwasababu wajinga ukiwaacha wataamini wanasema kweli kumbe upuuzi
 
Munaohusudu Ghadaffi,Tumaini na wenzake hamkbai kuwa alishirikiani na Amin Dada
kwenye vita na Uganda?
Nyie sio Watanzania?au ni Waarab?
 
Gadafi muhuni, Waisraeli wahuni.

Waafrika wanaendekeza udini katika dini ambazo hata haziwahusu.

Kwangu mimi wakiingia ndani ya 18 unachukua msaada tu, Gadafi, Muisraeli etc.

Kuna watu kwenye hii forum hawaoni kitu chochote ila kwa miwani ya dini.

Hivi Muisraeli alisaidia hayo mafuriko?
 
Kitu ambacho mnasahau ni kwamba Gadafi alijutia baada ya kumsaidia Amin. Alimtimua Amina Libya na Amin akakimbilia Saudi Arabia. Gadafi hajasahau kwamba Nyerere alimrudishia wanajeshi wake waliokamatwa vitani Uganda bila kudai compesation. And Gadafi has said such in public. He has an affection for Tanzania and I believe him to be genuine.

Sasa mbona amechukua miaka 30 kuonyesha hilo. Mbona hajaja TZ na kutuomba radhi au kutueleza jinsi gani anajutua kumsaidia Amin. Haiingii akilini mwangu kabisa kuona JK kila mara yuko Libya na huyo rafiki yake lakini huyo rafiki yake haji kumtembelea. Mbona wakati wa Mkapa na Mwinyi hakuonyesha kujutia?? Alienda Malawi kwa Muluzi, alienda Zimbabwe kwa Mugabe, may be hao ndiyo rafiki zake not TZ!!
 
Mmakonde

Laiti ungesikiliza Ujumbe kutoka kwa Museveni katika Msiba wa Mzee Kawawa ungufunguka macho kuhusiana na vita ile.

Mjumbe wa Museveni alisema, wazi anakumbuka jinsi Marehemu Mwalimu alivyosaidia kutrain factions za Museveni, at the same time akimsaidia Obote ili kupambana na Iddi Amini, hii ilikuwa ni miaka kabla ya hiyo inayodaiwa Nduli kavamia nchi yetu "APIGWE!".

yule mjumbe akasema kwamba, kuna wakati Mwalimu aliwaomba frelimo wakitrain kikundi cha Museveni. na hii ni kabla ya huyo nduli hajaivamia Tanzania. sasa which is which hapa?. kumbuka Frelimo walikuwa na kituo hapa Tanzania.

Sasa swali ni hili, Ni nani alimchokoza Mwenzie hapo, Tanzania au Uganda?, kwa nini inaonekana kama tulikuwa tunaingilia Internal Affairs za nchi ile?

Hotuba hii ya Museveni ilipelekea hadi gazeti la THE GUARDIAN KUANDIKA "MUSEVENI SPILLS THE BEANS".

Mimi nakwambia ukweli kuhusu ile vita utaendelea kuchimbwa na kutafutwa mpaka itakapowekwa bayana kabisaaa. no stone will be left unturned!!!.
 
Kitu ambacho mnasahau ni kwamba Gadafi alijutia baada ya kumsaidia Amin. Alimtimua Amina Libya na Amin akakimbilia Saudi Arabia. Gadafi hajasahau kwamba Nyerere alimrudishia wanajeshi wake waliokamatwa vitani Uganda bila kudai compesation. And Gadafi has said such in public. He has an affection for Tanzania and I believe him to be genuine.

" Believe him like a fox"
 
Watu wamemsifu Ghadaffi kwa kusaidia Tanzania (mafuriko).Tukumbuke huyu jamani alimsaidia Muislamu mwenzake Idd Amin Dada alipovamia Tanzania.Tangu siku hizo sijamuamini kabisa.

Do you think kama Tanzania tungekuwa na uhusiano na state ya Israel angetusaidia?Kwa hiyo suala linakuja ,kwa nini nchi yetu mpaka leo,tumeshindwa kuwa na ubalozi huko nchini Israel wakati walitoa mchango mkubwa sana katika ujenzi wa landmark buildings kama Kilimanjaro hotel etc?[/QUOTE]

Simple!!! na jibu ni lazima unalijua, la kama unajibabaisha, basi endelea tuuu. Israel hawana nchi. Hiyo State yao inayoitwa "State of Israel" imelazimishwa tu juu ya ardhi ya Palestine, ni "Occupied land of Palestine". Imelazimishwa na walio wachafu na mahabithi miongoni mwao, chini ya movement ya kiZayuni (Zionism), kama mwaka umeusahau, basi nakukumbusha, ni 1948, ukweli ni kwamba hawana nchi, kamwe. As simple as that, but just as complex as the above movement has programme you and others to accept.

Binamu na ndugu zao waPalestine, waislamu, walikaa nao kwa muda mrefu bila ya vurugu, na hata baada ya kuhilikishwa na kuuliwa (Halacaust) na wakristo wa ulaya, kwa tuhuma za eti wao ndio waliomsaliti Yesu, ndugu zao hawa waliwapokea kwa mikono miwili na kuwapa makaazi. Tatizo ni UZAYUNI.

Hicho kiiniimachoo wanachokifanya waZayuni mpaka ikafikia hatua ya hivyo wewe na wenzio mnavyobabaika na unjezi wa landmarks, etc, ...nafikiri juzijuzi hapa jamvini mlikuwa mkiorodhesha na kusifia, ni simple, ni kiinimacho/deception: NI KUTAFUTA JUSTIFICATION YA MALENGO YAO, KUJARIBU KUVUTA SYMPATHY KWA WALIMWENGU, NA KUFICHA MAOVU YAO. Simple !!!

Kuna majibu simple zaidi ya hayo hapo juu ambayo tayari unayajua??, au huyataki tuu?? Don't violate your intellect.

Ghadhafi (Gadafi) pamoja uTyranny wake ambayo hiyo ni another story line, lakini ana nchi yake, Libya. Taifa lake hali-occupy ardhi ya nchi au Taifa jengine lolote. Can it be any simpler than that?? Can you understand???

Kiinimacho cha hizo landmarks ni rahisi kuzifahamu, je una jengine linalokusugua hata upende Tanzania iwe na mahiusiano ya kibalozi na waZayuni???
 
Ghaddafi anapotoa msaada hua haangalii kigezo cha dini, amewahi kuwasaidia Zimbabwe na nchi ile haina waisilamu wengi, Ghaddafi yeye ni kauli ya mwisho ya Libya akisema anakupa hakuna anayebisha utapewa tu.
 
Back
Top Bottom