Mzee wetu Kanali Idd Kipingu inafikia wakati tunakumbuka jinsi Makongo Sekondari ya enzi zako ilivyokuwa incubator ya Mastaa wa VPL. Wachezaji kama Juma Kaseja, Henry Joseph, Mussa Mgosi, Jerry Tegete, Boniphace Pawasa nk ni miongoni mwa matunda mazuri ya Shule ya Sekondari ya Makongo. Lakini miaka inaenda na siku zinazidi kusonga hatuoni tena Makongo ikiwa tishio katika kuzalisha wachezaji wa viwango na hapo ndiyo nafikia hitimisho la kusema: Mzee wetu bado soka linakuhitaji, hali ya wachezaji wetu ni mbaya, wanaolea vituo vya soka wamepoteza mwelekeo.
Nimetaja kwa uchache, wadau ongezeeni wachezaji waliopitia Makongo enzi za Kipingu.
Nimetaja kwa uchache, wadau ongezeeni wachezaji waliopitia Makongo enzi za Kipingu.