da hv hujui kuwa siku hzi mkisi ni lecturer juo flan hapa Tz...ashaachana na JESHI KITAMBO SANA
JWTZ kwa makofi tujamaa alikuwa na program yake moja inaitwa MKISI PROGRAMU...aisee kuna siku aliingia darasan kwetu akaanza kukagua daftari la mmoja baada ya mwingine..akamkuta mmoja hata daftar hana...aisee alimpiga kofi moja hilo darasa zima tukashtuka..dogo akapatwa na maluelue ikabd apelekwe hospital ndo ikawa pona yangu....maana mi mwenyewe aikuwa na daftar siku hyo
Siku hizi nasikia kunakufanya mitihani ya uongozi na military science ndio upande cheo na inakuwa kwa kiingerezaInaumiza sana yaani ye yupo Ukapteni watu wa chini wanapanda halafu wanamuacha hapo kwa nini nisiache kazi
Hao wote wawili nawafahamuMbuge aliingia Jeshini lini na elimu gani na Mkisi aliingia lini na Elimu gani
JWTZ hakuna shortcut kupata vyeoHakuna cha kusota, elimu tu
Alikuwa anakwambia my father was a genaralKipindi yuko mafinga alikua anajisifu kwamba alipata cheo kikubwa jeshini akiwa na umri mdogo tu sikumbuki alitaja miaka mingapi.
Alikuwa anakwambia my father was a generalKipindi yuko mafinga alikua anajisifu kwamba alipata cheo kikubwa jeshini akiwa na umri mdogo tu sikumbuki alitaja miaka mingapi.
Labda kama ulikuwa huelewi, wengi huwa wanakwama kwenye kutoka meja kuwa Luteni Kanali ni kwa sababu za mitihani, hata hivyo zamani ndio ilikuwa inazingatiwa seniority kwasasa kipawa elimu, ila baada ya kchukuliwa wasomi sahv wanatusua uluteni kanali fasta, na wanaokwama ni wale wazee wa zamani, kama huamini ulizia. Vijana walioingia 2011 sahv mameja. Angalia wana muda gani.JWTZ hakuna shortcut kupata vyeo
fuatilia Maluteni kanali wamepata hicho cheo wakiwa na umri gani Wanaowahi uluteni kanali huwa wana miaka arobaini na kitu tena hao wamewahi ndio maana wanaovaa vijogoo wengi wazee ni sasa hivi tu batch za karibuni tunawaona maluteni kanali wa miaka 40s
Sijawahi ona luteni kanali YoungsterLabda kama ulikuwa huelewi, wengi huwa wanakwama kwenye kutoka meja kuwa Luteni Kanali ni kwa sababu za mitihani, hata hivyo zamani ndio ilikuwa inazingatiwa seniority kwasasa kipawa elimu, ila baada ya kchukuliwa wasomi sahv wanatusua uluteni kanali fasta, na wanaokwama ni wale wazee wa zamani, kama huamini ulizia. Vijana walioingia 2011 sahv mameja. Angalia wana muda gani.
Wengi kinachowagandisha sio kozi za kijeshi bali ni Promex, unaelewa maana ya promex? 2013 kuna jamaa ninaemfahamu alikuwa ni Kanali na alikuwa hajafikisha hata 40.Sijawahi ona luteni kanali Youngster
Wasomi jeshini ni miaka yote wapo
kama maeneo mengine duniani tunafuata viwango vya muingereza Uafisa sifa ya kwanza at least mwenye cheti cha form six plus officer candidate interview
ila hao wa 2011 ambao wapo kwenye umeja hongera kwao kwakweli maana wanakula mshahara zaidi ya milioni nne ktk umri mdogo sana
Hivi vyeo vya nembo(maj mpaka col) haviangalii muda wa kutumikia? Kwamba vyenyewe vimebase kwenye mtu kutusua Promex tu basiWengi kinachowagandisha sio kozi za kijeshi bali ni Promex, unaelewa maana ya promex? 2013 kuna jamaa ninaemfahamu alikuwa ni Kanali na alikuwa hajafikisha hata 40.
Unakumbuka kuna maada moja niliwahi kukwambia kuwa mbali ya muda wa kukaa na cheo pia kuna hitajio na mambo mengine kama vile Amirijeshi mkuu atavyoona inafaa?? Jitahidi ukumbuke, pia kuna watu wamemaliza Cadet muda mfupi mbele waliukwaa umeja kutokana na elimu zao.Hivi vyeo vya nembo(maj mpaka col) haviangalii muda wa kutumikia? Kwamba vyenyewe vimebase kwenye mtu kutusua Promex tu basi
Nilikuwepo hiyo jomba jamaa akija mambo mengi kepu kali hapo yuko kiraiaAlikuwa mkuu wa jeshi pale mafinga 2015 mara nyingi alikuwa haonekani hakuwa kambini ila Kama akiwepo kambini kuruta wote tunakula bata kula naye sana mastory,private ndo walikuwa wanakinywea
Ilo tushalizungumza ebu fatilia izo post vzr tumesahishana na kuwekana sawa hapo kama mm wasiwasi wangu nilikuwa nashsngaa akivaa kofia yenye star 3 badala ya 4 ila nikasahishwa ni makosa ya makota masta....kwaiyo tushasahishana na kujuzana.Nani kakwambia Gen. Mabeyo siyo 4 star general?
Bado yuko jeshi me sizani kama kaacha jeshi...Yuko Chuo gani?
Hapo kwenye mada nimewawekea link ya Youtube video ina wiki tatu tu toka ichukuliwe video kaangalie Mkisi kajitambulisha kwenye hiyo Channel kuwa ana cheo cha kanali
Na kijeshi huruhusiwi kutumia jina la cheo kama hukustaafu kwa utaratibu
Ila asikwambie mtu kijogoo kile cha kwenye kora ya shati kukivaa raha bhana....na ndomana wanavaa ma kanali na kuendelea uko raha sana....JWTZ hakuna shortcut kupata vyeo
fuatilia Maluteni kanali wamepata hicho cheo wakiwa na umri gani Wanaowahi uluteni kanali huwa wana miaka arobaini na kitu tena hao wamewahi ndio maana wanaovaa vijogoo wengi wazee ni sasa hivi tu batch za karibuni tunawaona maluteni kanali wa miaka 40s