Kanali Martini Mkisi kweli maisha ni gwaride

Na wana enjoy mno
 
Bado yuko jeshi me sizani kama kaacha jeshi...
Ni ngumu kuuacha mshahara wa zaidi ya milioni saba Kwa mwezi halafu katika ngazi ya ukanali

Ngazi ambayo mtu unashinda around MMJ
 
Ni ngumu kuuacha mshahara wa zaidi ya milioni saba Kwa mwezi halafu katika ngazi ya ukanali

Ngazi ambayo mtu unashinda around MMJ
Ni ngumu sana aisee awezi we jeshi ni kazi nzuri na ya uhakika na securite ya kutosha favour kibao unazani utapata wapi kazi nzuri kama hii.
 
Fitna za vyeo

Waliokuwa Chini yake wamerushwa juu yake
Hii pointi yako itakuwa na mshiko kama utaonyesha yeye Mkisi aliingia mwaka gani akiwa na elimu gani dhidi ya mfano Mbuge na wengine walioingia mbele yake na sasa wapo jj
 
Ni ngumu sana aisee awezi we jeshi ni kazi nzuri na ya uhakika na securite ya kutosha favour kibao unazani utapata wapi kazi nzuri kama hii.
mshahara wa ukanali hapana aisee yaani wewe mtu kila mwezi unadraw zaidi ya milioni tano kila mwisho wa mwezi
 
Hao wote wawili nawafahamu

Unaulizia elimu ya Mkisi?!! Mkisi alipiga GPA kali UDSM mpaka UDSM walikuja kumpa lecture kazi part time wakati hajaamishwa kwenda U'CO' Mafinga Jkt

Mkisi hajapata vyeo kibahati bahati
Sijasema kapata kibahati, bali nimeuliza aliingia jeshini lini vs Mbuge na elimu zao
 
Jiwe bwana dah yaani watu wa form six 2014 washakula ukapteni dah

huyo mdogo wako lazima atafika juu sana kama hajafika hata miaka 30 tayari ni kapteni
Mkuu hapo amendika jamaa alipelekwa Russia kusoma Military Science, bila shaka hiyo ni Bachelor degree.
Kwa hivyo dogo ni graduate wa chuo kikuu siyo Form six.
 
Sijasema kapata kibahati, bali nimeuliza aliingia jeshini lini vs Mbuge na elimu zao
Mkuu we jua tu kuwa Mkisi ana high GPA first,second degrees ila Mbuge ana sifa za kawaida tu
 
Mkuu we jua tu kuwa Mkisi ana high GPA first,second degrees ila Mbuge ana sifa za kawaida tu
Kumbe hiyo issue yote hapa ilikuwa ni nani ana gpa kubwa zaidi ya wengine, then nafikiri huyo angekuwa cdf kabisa, au Yule dogo wa PCM, wengine wote wamfuate Mkisi
 
Katika miito ya Kijeshi kwa itifaki ya mkubwa kumuita mdogo hakuna msamiati nakuomba mara moja, utaitwa kwa cheo chako na kuelekea mkubwa alipo kupokea maelekezo (Amri) Kuna namna ya mkubwa kumheshimu mdogo lakini sio kwa kutumia neno naomba. Kama umewahi kucheza gwaride nina imani umeshuhudia vzr chain of command inavyofanya kazi kwenye kuitana. By Mimi raia mwemq
 
Mkuu we jua tu kuwa Mkisi ana high GPA first,second degrees ila Mbuge ana sifa za kawaida tu
Mkuu kwa upande wa Kamandi ya Navy kuna mmoja mheshimiwa anamkubali utendaji wake wa kazi na jamaa yupo Smart sana kwenye mambo ya Meli.

Kwa sasa anasimamia mradi mkubwa wa ujenzi wa meli, mradi ukiisha akifanya vyema anaweza akapanda rank za juu.
 
Mbuge alikuwa mdogo kwa Mkisi sema ndio hivo yaani

Jeshi na mimi sina hamu nalo

Yule RC wa Kagera nae ni mdogo kwa Mkisi ila ndio hivo kapandishwa fasta sahivi eti ni mkubwa kwa mkisi

Opportunities favor those that are prepared. Mkisi naye ana nafasi ya kuwekeza aliko halafu akatoka
 
Alilenga Ukanali sio Uluteni Kanali
Ndio nikamwambia ukanali hadi utumikie jeshi kuanzia 20yrs hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…