Silii na ndoma na like post yako ila nimesema tuu nyny ndo wale mkija jeshini tuna waita ma officer wa voda fasta mana ww una vinyota viwili tuu unataka unipelekeshe mm mkongwe eti ww sagent njoo hapa mm nimeingia jeshini na miaka zaidi ya 20 now niko jeshini ww uko shuleni heshimini watu mnaotukuta kwenye chombo sisi ma askari tunajua mengi sana na iki chombo msilete dharau...sisi ndo tunawafundisha kazi nyny ni ite kustaarabu aisee Sagent njoo nakuomba mara moja na sio kunipelekesha eti njoo apa mtoto wa juzi ww unanita mm njoo hapa ila kuna wengine wastaarabu sana nawapenda ukimsalimia jambo afande anaitikia vzr na mnaongea vzr sana ndio atukatai ni mafande wetu lkn muwe mnatuheshimu aisee mana mmetukuta kwenye chomba stupid....