Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Sasa unata tusipigiwe saluti na saameja kisa katuzidi umri [emoji44]ebooHapa ndio vijana wengi mnafeli kimaisha kwakusoa nidhamu. Maisha ni zaidi ya hivyo vyeo. Kwenye maisha tunawahitaji sana wazee walio tutangulia haijalishi nyadhifa zao.. wale wana hekima zaidi yetu.. endekezeni viburi muone mtacho vuna.. mnasikitisha sana nyie..
Sawa.wewe unaelewa [emoji44] acha kujifariji heshima utaipata ndani ya nyumba yako huku viungani itifaki inazingatiwaAchana na huyu kijana hana nidhamu mkuu. Aelewi maisha , na haelewi umuhimu wa hekima ya watu walio mtangulia haijalishi wapo katika ngazi ipi
Hakuna aliedhaarau wazee tatizo mnataka kunyenyekewa wakati nyie Ni Askari tu [emoji3]Hana hekima huyo. Hata siku moja mtu alie mature huwezi kuta anashindania elimu, na kudhaurau wazee ( senior ) katika field yoyote ile.. kuna hekima hata uwe na dgree mia hutokaa uipate kama huto submit na kuwa humble kwa walio kutangulia
Mkuu kuna mambo ambayo tunayachukulia juuu juu mfano wa mambo hayo niUpo usemi kuwa maisha ni kama Gwaride wa kwanza anaweza kuwa wa mwisho na wa mwisho akawa wa kwanza hii yote inategemea gwaride limeamrishwaje
wiki tatu zilizopita update ni kuwa Martin Mkisi bado yupo kwenye ukanali tangia mwaka 2015
tarehe 31 August mwaka 2016 Mbuge alikuwa na cheo cha luteni kanali akiwa CO Ruvu katika tarehe hiyo Mkisi alikuwa ni DC Kasulu akiwa ni kanali Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Ndalichako afunga Mafunzo ya Vijana kwa Mujibu wa sheria Ruvu JKT
DC KASULU NA KAMATI YAKE YA ULINZI NA USALAMA WAFANYA OPERESHENI KUKAMATA MAJANGILI NA WATEKAJI
yaani kwa kifupi ni kwamba katika Uafisa mkuu jeshini Martin Mkisi ni senior kwa Mbuge ila ndio vile tena maisha Gwaride Mbuge kapandishwa haraka haraka na Mkuu wa kaya jiwe
leo Mbuge yuko ngazi mbili juu ya Martin Mkisi cha kuumiza zaidi Mkisi na Mbuge walikuwa kituo kimoja cha kazi pale Mgulani huku Mkisi akiwa ni mkubwa wa Mbuge
Mkisi kurudi kuwa mkubwa kwa Mbuge ni kama haiwezekani, possible scenario ni labda Mkisi afike kwenye uluteni jenerali wakati huo Mbuge akishindwa au akichelewa kufika kwenye uluteni jenerali na jeshini techinically cheo cha mwisho ni meja jenerali na hakuna uhakika kama Mkisi atafanikisha angalau kufika kwenye ubrigedia
Ufahamu gani ambao nyie Askari mnao zaidi ya maafisaTatizo wanajiona elimu kubwa lkn awana ufahamu elimu na ufahamu vitu viwili tofauti unaweza ukawa na Elimu kubwa mm na uzee wangu na elimu yangu ya darasa la saba nikawa na ufahamu mkubwa sana wa mambo ilo wao hawajui cheo sio kitu...cheo dhamana tu.
Angalia vita vya idd amini angalia kamanda mwenye elimu ndogo alivyoweza kuwaongoza askari na wapiganaji kuleta ushindi kuliko yule graduate aliepigwa mpaka morali ukaishaHakuna aliedhaarau wazee tatizo mnataka kunyenyekewa wakati nyie Ni Askari tu [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Usijidanganye kwenye ile Vita kulikuwa na.makamanda waliosoma.sandhurst Kama akina mej Gen Walden so kaa kwa kutuliaAngalia vita vya idd amini angalia kamanda mwenye elimu ndogo alivyoweza kuwaongoza askari na wapiganaji kuleta ushindi kuliko yule graduate aliepigwa mpaka morali ukaisha
Ukinena weka akiba ya maneno..ukiwa mzee utakumbuka
Salute ni utaratibu ( Protocal ) ni haki yako. Lakini sio sababu ya kukosa nidhamuSasa unata tusipigiwe saluti na saameja kisa katuzidi umri [emoji44]eboo
Sent using Jamii Forums mobile app
Naelekwa hayo yote. Ila ukarimu na unyenyekevu ni muhimu haijalishi upoje. Tunawatu kibao chini yetu lakini huwezi amini unapo tukuta nao. Ma vyeo ni ma vitu ya kupita tu, yasikufanye ukakosa utuSawa.wewe unaelewa [emoji44] acha kujifariji heshima utaipata ndani ya nyumba yako huku viungani itifaki inazingatiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya kijana. Kama unaona kunyenyekewa ndio kila kitu kila lakheri ni maisha yako hayo πΆββοΈπΆββοΈHakuna aliedhaarau wazee tatizo mnataka kunyenyekewa wakati nyie Ni Askari tu [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama vyeo Ni vya kupita tu Basi usiumie vijana wakila nyota zao chap chap maana halikuhusu kwa namna yoyote Ni non of your businessNaelekwa hayo yote. Ila ukarimu na unyenyekevu ni muhimu haijalishi upoje. Tunawatu kibao chini yetu lakini huwezi amini unapo tukuta nao. Ma vyeo ni ma vitu ya kupita tu, yasikufanye ukakosa utu
Walio soma uingereza ni wangapi kwenye ile vita .walisoma uluteni usu au degree za kawaida.namaanisha shahada za kawaida ambazo vijana wanalinga na kuona wao wana lijua jeshi kuliko hao ma sajentiUsijidanganye kwenye ile Vita kulikuwa na.makamanda waliosoma.sandhurst Kama akina mej Gen Walden so kaa kwa kutulia
Sent using Jamii Forums mobile app
Katafuute uwajue Google ipoWalio soma uingereza ni wangapi kwenye ile vita .walisoma uluteni usu au degree za kawaida.namaanisha shahada za kawaida ambazo vijana wanalinga na kuona wao wana lijua jeshi kuliko hao ma sajenti
Sina wivu mzee baba. Hela ninayopat nayo na connection ambazo ninazo kuanzia huko huko kwenu.. sina haja ua kutamani wala kuwa na wivu.. kuwa na vyeo vyako na mie nikae na pesa zangu na biashara zangu, tuone nani kwenye jamii ataonekana wa maana ππππKama vyeo Ni vya kupita tu Basi usiumie vijana wakila nyota zao chap chap maana halikuhusu kwa namna yoyote Ni non of your business
Acha kujiumiza kwa wivu
Sent using Jamii Forums mobile app
Anahulka zote za watu warefu, ila hana roho mbaya.Hahaa waliosoma Jitegemee na UDSM wanamfahamu huyu jamaa vzr.
a.k.a mista misifa,
Hahaha wewe Ni dizaini ya maafande wenye wivu nyie ndio mnaoendekeza ushirkina jeshini na kupigana vipapai kisa cheo .Sina wivu mzee baba. Hela ninayopat nayo na connection ambazo ninazo kuanzia huko huko kwenu.. sina haja ua kutamani wala kuwa na wivu.. kuwa na vyeo vyako na mie nikae na pesa zangu na biashara zangu, tuone nani kwenye jamii ataonekana wa maana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
πππ alafu mie ni Rai mwema kamanda.. mambo yenu hayo mie sipo.. nakula maisha tu huku uraini..Hahaha wewe Ni dizaini ya maafande wenye wivu nyie ndio mnaoendekeza ushirkina jeshini na kupigana vipapai kisa cheo .
Kama shida Ni hizo hela zake ndio maana unaleta ngendembwe Basi jua hela zinatufutwa bwana saameja/coplo .
Sent using Jamii Forums mobile app
TISS ni siri mkuu?Jeshi sio TISS