Kanali Martini Mkisi kweli maisha ni gwaride

Kanali Martini Mkisi kweli maisha ni gwaride

Hapa ndio vijana wengi mnafeli kimaisha kwakusoa nidhamu. Maisha ni zaidi ya hivyo vyeo. Kwenye maisha tunawahitaji sana wazee walio tutangulia haijalishi nyadhifa zao.. wale wana hekima zaidi yetu.. endekezeni viburi muone mtacho vuna.. mnasikitisha sana nyie..
Sasa unata tusipigiwe saluti na saameja kisa katuzidi umri [emoji44]eboo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hana hekima huyo. Hata siku moja mtu alie mature huwezi kuta anashindania elimu, na kudhaurau wazee ( senior ) katika field yoyote ile.. kuna hekima hata uwe na dgree mia hutokaa uipate kama huto submit na kuwa humble kwa walio kutangulia
Hakuna aliedhaarau wazee tatizo mnataka kunyenyekewa wakati nyie Ni Askari tu [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo usemi kuwa maisha ni kama Gwaride wa kwanza anaweza kuwa wa mwisho na wa mwisho akawa wa kwanza hii yote inategemea gwaride limeamrishwaje

wiki tatu zilizopita update ni kuwa Martin Mkisi bado yupo kwenye ukanali tangia mwaka 2015

tarehe 31 August mwaka 2016 Mbuge alikuwa na cheo cha luteni kanali akiwa CO Ruvu katika tarehe hiyo Mkisi alikuwa ni DC Kasulu akiwa ni kanali Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Ndalichako afunga Mafunzo ya Vijana kwa Mujibu wa sheria Ruvu JKT

DC KASULU NA KAMATI YAKE YA ULINZI NA USALAMA WAFANYA OPERESHENI KUKAMATA MAJANGILI NA WATEKAJI

yaani kwa kifupi ni kwamba katika Uafisa mkuu jeshini Martin Mkisi ni senior kwa Mbuge ila ndio vile tena maisha Gwaride Mbuge kapandishwa haraka haraka na Mkuu wa kaya jiwe

leo Mbuge yuko ngazi mbili juu ya Martin Mkisi cha kuumiza zaidi Mkisi na Mbuge walikuwa kituo kimoja cha kazi pale Mgulani huku Mkisi akiwa ni mkubwa wa Mbuge

Mkisi kurudi kuwa mkubwa kwa Mbuge ni kama haiwezekani, possible scenario ni labda Mkisi afike kwenye uluteni jenerali wakati huo Mbuge akishindwa au akichelewa kufika kwenye uluteni jenerali na jeshini techinically cheo cha mwisho ni meja jenerali na hakuna uhakika kama Mkisi atafanikisha angalau kufika kwenye ubrigedia

Mkuu kuna mambo ambayo tunayachukulia juuu juu mfano wa mambo hayo ni
Moja.Nidhamu utiifu na uwajibikaji
Pili kati ya hao nani alianza kumaliza kozi ya ukuruta
Tatu kati ya hao nani aliwahi kupata uafisa yaani luteni usu.
Nne.Baada ya hapo nani anaweza kuwa flexible kutimiza matakwa ya uongozi kwa kila jukumu atakalopewa liwe kubwa au dogo
Tano.Baada ya hapo angalia elimu ya kuingia jeshini.
Sita.Pia angalia aliejiendeleza akiwa jeshini na aliejiendeleza kabla ya jeshini.
Nane.Makosa wote tunafanya pia angalia mwenye uwezo wa kurekebisha makosa yake kwa muda mfupi na kujutia na kuwajali wengine
Tisa. bila kusahau busara hasa kwenye ngazi za juu za uongozi
Kumi.ujiondoa elimu za kawaida yaani degree za vyuo vikuu. Nani ana elimu ya kijeshi kwa mahitajinya jeshi.

Anzia na hapo nadhani hutaumia tena na hutakuwa na wivu wala kinyongo...
 
Tatizo wanajiona elimu kubwa lkn awana ufahamu elimu na ufahamu vitu viwili tofauti unaweza ukawa na Elimu kubwa mm na uzee wangu na elimu yangu ya darasa la saba nikawa na ufahamu mkubwa sana wa mambo ilo wao hawajui cheo sio kitu...cheo dhamana tu.
Ufahamu gani ambao nyie Askari mnao zaidi ya maafisa

Nyie hata ishu zingine za jeshi ngumu kujua zaidi ya kupewa order mtekeleze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna aliedhaarau wazee tatizo mnataka kunyenyekewa wakati nyie Ni Askari tu [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia vita vya idd amini angalia kamanda mwenye elimu ndogo alivyoweza kuwaongoza askari na wapiganaji kuleta ushindi kuliko yule graduate aliepigwa mpaka morali ukaisha

Ukinena weka akiba ya maneno..ukiwa mzee utakumbuka
 
Kwa maslahi mapana, nashairi huu uzi ufutwe hapa
 
Angalia vita vya idd amini angalia kamanda mwenye elimu ndogo alivyoweza kuwaongoza askari na wapiganaji kuleta ushindi kuliko yule graduate aliepigwa mpaka morali ukaisha

Ukinena weka akiba ya maneno..ukiwa mzee utakumbuka
Usijidanganye kwenye ile Vita kulikuwa na.makamanda waliosoma.sandhurst Kama akina mej Gen Walden so kaa kwa kutulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa.wewe unaelewa [emoji44] acha kujifariji heshima utaipata ndani ya nyumba yako huku viungani itifaki inazingatiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Naelekwa hayo yote. Ila ukarimu na unyenyekevu ni muhimu haijalishi upoje. Tunawatu kibao chini yetu lakini huwezi amini unapo tukuta nao. Ma vyeo ni ma vitu ya kupita tu, yasikufanye ukakosa utu
 
Naelekwa hayo yote. Ila ukarimu na unyenyekevu ni muhimu haijalishi upoje. Tunawatu kibao chini yetu lakini huwezi amini unapo tukuta nao. Ma vyeo ni ma vitu ya kupita tu, yasikufanye ukakosa utu
Kama vyeo Ni vya kupita tu Basi usiumie vijana wakila nyota zao chap chap maana halikuhusu kwa namna yoyote Ni non of your business

Acha kujiumiza kwa wivu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usijidanganye kwenye ile Vita kulikuwa na.makamanda waliosoma.sandhurst Kama akina mej Gen Walden so kaa kwa kutulia

Sent using Jamii Forums mobile app
Walio soma uingereza ni wangapi kwenye ile vita .walisoma uluteni usu au degree za kawaida.namaanisha shahada za kawaida ambazo vijana wanalinga na kuona wao wana lijua jeshi kuliko hao ma sajenti
 
Walio soma uingereza ni wangapi kwenye ile vita .walisoma uluteni usu au degree za kawaida.namaanisha shahada za kawaida ambazo vijana wanalinga na kuona wao wana lijua jeshi kuliko hao ma sajenti
Katafuute uwajue Google ipo

Na nikukumbushe nyakati zinabadilika usifananishe Mambo ya 1979 na 2020 .

Nachokushauri kubaki nafasi yako acha dharau kuwaita vijana maafisa wa voda fasta

Hakuna aliekuzuia wewe kuwa afisa

Maisha Ni safari ndefu kila mtu na kipande chake

Wivu unaua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama vyeo Ni vya kupita tu Basi usiumie vijana wakila nyota zao chap chap maana halikuhusu kwa namna yoyote Ni non of your business

Acha kujiumiza kwa wivu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sina wivu mzee baba. Hela ninayopat nayo na connection ambazo ninazo kuanzia huko huko kwenu.. sina haja ua kutamani wala kuwa na wivu.. kuwa na vyeo vyako na mie nikae na pesa zangu na biashara zangu, tuone nani kwenye jamii ataonekana wa maana 😀😀😀😀
 
Sina wivu mzee baba. Hela ninayopat nayo na connection ambazo ninazo kuanzia huko huko kwenu.. sina haja ua kutamani wala kuwa na wivu.. kuwa na vyeo vyako na mie nikae na pesa zangu na biashara zangu, tuone nani kwenye jamii ataonekana wa maana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaha wewe Ni dizaini ya maafande wenye wivu nyie ndio mnaoendekeza ushirkina jeshini na kupigana vipapai kisa cheo .

Kama shida Ni hizo hela zake ndio maana unaleta ngendembwe Basi jua hela zinatufutwa bwana saameja/coplo .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha wewe Ni dizaini ya maafande wenye wivu nyie ndio mnaoendekeza ushirkina jeshini na kupigana vipapai kisa cheo .

Kama shida Ni hizo hela zake ndio maana unaleta ngendembwe Basi jua hela zinatufutwa bwana saameja/coplo .

Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀 alafu mie ni Rai mwema kamanda.. mambo yenu hayo mie sipo.. nakula maisha tu huku uraini..
 
Back
Top Bottom