Kanali Martini Mkisi kweli maisha ni gwaride

Sijaita kijana yyte tusi na sina historia hiyo ya tusi lolote review post zangu...wala voda fasta wala vyo yote.ila shimbo (lt.gen mstaafu) alisema moja ya sababu ya kutaka kuanzisha shahada ya sayansi ya kijeshi ni aina ya maafisa wanaopata kutokana vyuo vya kiraia na wanakaa nao mda mfupi kabla ya kuwapa ukamisheni
Mwisho wa kunukuu
 
Mdogo ake ni wake madogo wa mujibu wa sheria wamekaa sana uzalendo pale TAU 95Kj yani watu wana connect dot uyu jamaa hajui....ana funguka tu kizembe zembe...
Hajui watu hawana jema. Wamesota sana bila kula cheo halafu mdogo mtu anapanda fasta fasta wao wapo tu..

Dogo akianzwa piga majungu aanze kulialia humu ndani, kumbe yeye ndio chanzo. Na nimuambie tu hakuna sehemu yenye majungu kama kwenye vyombo vya ulinzi na usalama..

Ningemuona wa busara mno kama asingeandika kile alichoandika humu ndani ama angeandika kwa code..
 
Dogo anajua elimu tu itafanya upate cheo kasahau nidhamu ni kiungo muhimu sana kukufanya wewe kupanda cheo.
 
😂😂😂😂
 
Ufahamu gani ambao nyie Askari mnao zaidi ya maafisa

Nyie hata ishu zingine za jeshi ngumu kujua zaidi ya kupewa order mtekeleze



Sent using Jamii Forums mobile app
Sio askari wote wanspokea oda kutoka kwa maafisa mfano 92kj awapokei oda kutoka kwa afisa yeyote yule mkuu zaidi ya General mabeyo na Raisi Amiri jeshi mkuu unazani kila kikosi wanapokea oda kiboya tuu na kutekeleza afu ivi viluteni ivi cjui vikoje...Nenda 92Kj ukatoe oda yako kama wauni wa pale watakusikiliza....pale oda ya Raisi na mkuu wa majeshi tuu ndo zinazotekelezwa msilete dharau hapa...au ww utakuwa wale madogo wa Navy wewe...
 
Wazee wa ngerengere hao sio
 
Wakikutana njiani salute kama kawa, heshima ifate mkondo
 
Mwenye hizo sifa ni Mbuge au Mkisi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…