Kanali Martini Mkisi kweli maisha ni gwaride

Kanali Martini Mkisi kweli maisha ni gwaride

Unajua kwamba General Mboma alipanda kutoka Major General kuwa General bila kupitia Lt General?
Inawezekana sio lazima uwe Lt General, Maana macho ya rais anaanza kuangalia kuanzia major general means wakuu wa kamandi so kama ni zari lako unatoboa
 
Unajua kwamba General Mboma alipanda kutoka Major General kuwa General bila kupitia Lt General?
Skipping ranks sio desturi nzuri

Na hapo Mboma alikuwa anauwezo vizuri tu wa kuwa CDF bila kuruka ngazi sababu alishafika umeja jenerali
 
Silii na ndoma na like post yako ila nimesema tuu nyny ndo wale mkija jeshini tuna waita ma officer wa voda fasta mana ww una vinyota viwili tuu unataka unipelekeshe mm mkongwe eti ww sagent njoo hapa mm nimeingia jeshini na miaka zaidi ya 20 now niko jeshini ww uko shuleni heshimini watu mnaotukuta kwenye chombo sisi ma askari tunajua mengi sana na iki chombo msilete dharau...sisi ndo tunawafundisha kazi nyny ni ite kustaarabu aisee Sagent njoo nakuomba mara moja na sio kunipelekesha eti njoo apa mtoto wa juzi ww unanita mm njoo hapa ila kuna wengine wastaarabu sana nawapenda ukimsalimia jambo afande anaitikia vzr na mnaongea vzr sana ndio atukatai ni mafande wetu lkn muwe mnatuheshimu aisee mana mmetukuta kwenye chomba stupid....

Nani alikwambia ukimbie umande[emoji1787][emoji1787][emoji1787] shule muhimu mzee utaishia kutumwa tumia tu hapo[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Nani alikwambia ukimbie umande[emoji1787][emoji1787][emoji1787] shule muhimu mzee utaishia kutumwa tumia tu hapo[emoji2][emoji2][emoji2]
Skia ww raia mm ni "Boa Sargent" si tumwi tumwi ovyo hata gard lindo kukaa sikai mm nakaa ofisini kama msomi mm ndo napanga mtiririko mzima wa kikosi kizima nani akae gard nani afanye ivi nani afanye ivi uyu akae pale kwaiyo basi siteseki Jeshini mm ww...
 
Hivi huyu Mkisi si ndie aliyekataa uteuzi wa U-DC wa JPM akarudishwa HQ na kutimuliwa kazi??kama ndie aliyekuwa Jitegemee Sekondari basi hayupo Jeshini kwa ninavyofahamu
 
Sijawahi ona luteni kanali Youngster

Wasomi jeshini ni miaka yote wapo
kama maeneo mengine duniani tunafuata viwango vya muingereza Uafisa sifa ya kwanza at least mwenye cheti cha form six plus officer candidate interview


ila hao wa 2011 ambao wapo kwenye umeja hongera kwao kwakweli maana wanakula mshahara zaidi ya milioni nne ktk umri mdogo sana
Mkuu mishahara ni siri,umejuaje?
 
Hivi huyu Mkisi si ndie aliyekataa uteuzi wa U-DC wa JPM akarudishwa HQ na kutimuliwa kazi??kama ndie aliyekuwa Jitegemee Sekondari basi hayupo Jeshini kwa ninavyofahamu
Hiyo Clip kwenye Channel amejitambulisha kama Kanali na hiyo Clip imerekodiwa mwezi May au June mwaka huu
 
Kulikuwa na mitihani siyo ya makaratasi. Mafunzo yalikuwa mazito na hatari Sana.
Kwa hiyo vijana wengi wangeshindwa??

Lakini hata huo wa makaratasi si unaenda na wa vitendo
 
Akiingia kwenye pindi au kama anahutubia
Anaanza kuzungumzia familia yake kwanza.

Familia yangu yote hakuna mwenye Degree, ni masters kwenda juu, mimi na mke wangu tuu kitanda chetu kinalaliwa na degree 4.
Mimi nina pesa..
Mkuu wa shule kubwa kabisa Tz na east africa,
Mwanajeshi pekee handsome na aliyesoma...
Ukiona gari yangu inapita manzese ujue imeibiwa, toa taarifa,
Nalipwa mshahara na Jeshi, Shule na vyuo.
Hapo hajazungumzia gari,
Hajataja sifa za mwanae,
Hajataja backgroud ya kwao....

Hahaa anyway ni mtu poa na smart sana, hayo mengine ni mambo binafsi
Hahaa daah
 
Wee acha bana, alopitia Kanali mkisi ni makubwa sana.

Jamaa ilifikia muda mwenyewe akaomba kutolewa uDC , jamaa alirogwa, alikua hawez kutoka hata kitandani.

Jiwe alipoona barua ya jamaa, akaamua kumtoa ,nasababu kubwa yeye akakazia et "Mjeda gan unaomba kutolewa kwa nafasi ulochaguliwa namkuu wako??"...utovu wa nidhamu.


Ila jamaaaa angekua keshasepa nakaburi limemeza, alirogwa akiwa DC
Kwa nn alirogwa?km ni makosa ya kudhamilia hapaswi kupewa cheo ataumiza wengine
 
Kwa kigezo cha elimu au?
Hao wote wawili nawafahamu


Unaulizia elimu ya Mkisi?!! Mkisi alipiga GPA kali UDSM mpaka UDSM walikuja kumpa lecture kazi part time wakati hajaamishwa kwenda U'CO' Mafinga Jkt

Mkisi hajapata vyeo kibahati bahati
 
Hivi huyu Mkisi si ndie aliyekataa uteuzi wa U-DC wa JPM akarudishwa HQ na kutimuliwa kazi??kama ndie aliyekuwa Jitegemee Sekondari basi hayupo Jeshini kwa ninavyofahamu
Km unakataa kazi ninayokutuma huna utiifu na nidhamu...inatosha kuwa sababu kubwa
 
Back
Top Bottom