TANZIA Kanali mstaafu Ayoub Mwinyimvua Simba afariki Dunia na kuzikwa Dar

Mtanzania1

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2010
Posts
1,170
Reaction score
175
Aliyekuwa Kanali mstaafu wa JWTZ Mzee wetu Ayoub Mwinyimvua Simba amefariki siku ya Ijumaa tarehe 9/5/2025 na kuzikwa na tarehe 10/5/2025 katika makaburi ya Kisutu Dar es Salaam.

Kanali Simba mbali na kufanya ya kulibadili kesho kuwa la wananchi, alifanya kazi kama msaidizi wa karibu wa Mwalimu Nyerere na naibu Katibu mkuu wa kwanza wa CCM upande wa Zanzibar, alihudumu pia katika balozi kama MA katika balozi mbali. Aidha amefanya kazi kama RC katika mikoa ya Lindi, Kagera na Tanga.

Marehemu atakumbukwa kwa uadilifu wake, uzalendo wake kwa taifa, uchapakazi na kutopenda kujikuza.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu ampe makazi Mwema pema peponi na awape familia yake uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.

"Tenda wema naenda zako" ni kauli aliyoitumia sana wakati wa uhai wake
 
Dah..... namfahamu binti yake mmoja. Huyu mzee alikuwa wa kawaida sana leo ndiyo najua kama alikuwa kanali mstaafu wa JWTZ. Pole sana Fatma
 
Aliyekuwa Kanali mstaafu wa JWTZ Mzee wetu Ayoub Mwinyimvua Simba amefariki siku ya Ijumaa tarehe 9/5/2025 na kuzikwa na tarehe 10/5/2025 katika makaburi ya Kisutu Dar es Salaam.
Kanali Simba mbali na kufanya ya kulibadili kesho kuwa la wananchi, alifanya kazi kama msaidizi wa karibu wa Mwalimu Nyerere na naibu Katibu mkuu wa kwanza wa CCM upande wa Zanzibar, alihudumu pia katika balozi kama MA katika balozi mbali. Aidha amefanya kazi kama RC katika mikoa ya Lindi, Kagera na Tanga.
Marehemu atakumbukwa kwa uadilifu wake, uzalendo wake kwa taifa, uchapakazi na kutopenda kujikuza.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu ampe makazi Mwema pema peponi na awape familia yake uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.
"Tenda wema naenda zako" ni kauli aliyoitumia sana wakati wa uhai wake
Kanali azikwe bila mizinga? Au taratibu za kijeshi?
 
Kifo ni kifo tu
 
Hili jina sio geni.
Mungu wangu hivi vifo bandika bandua inakuwaje.

R.I.P kamanda mstaafu
 
Nadhani alikuwa CCM enzi ya chama kimoja. Baada ya hapo alistaafu baada ya kutoridhishwa na yalioendelea. Amezikwa bila mizinga Wala nguo yoyote ya kijani
Kama ni hivyo apumzike Kwa amani!
 
Attachments

  • 20250505_144802.jpg
    20250505_144802.jpg
    118.3 KB · Views: 33
Back
Top Bottom