Mtanzania1
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 1,170
- 175
Nadhani alikuwa CCM enzi ya chama kimoja. Baada ya hapo alistaafu baada ya kutoridhishwa na yalioendelea. Amezikwa bila mizinga Wala nguo yoyote ya kijaniKama alikua ccm apumzike panapo stahili!
Kanali azikwe bila mizinga? Au taratibu za kijeshi?Aliyekuwa Kanali mstaafu wa JWTZ Mzee wetu Ayoub Mwinyimvua Simba amefariki siku ya Ijumaa tarehe 9/5/2025 na kuzikwa na tarehe 10/5/2025 katika makaburi ya Kisutu Dar es Salaam.
Kanali Simba mbali na kufanya ya kulibadili kesho kuwa la wananchi, alifanya kazi kama msaidizi wa karibu wa Mwalimu Nyerere na naibu Katibu mkuu wa kwanza wa CCM upande wa Zanzibar, alihudumu pia katika balozi kama MA katika balozi mbali. Aidha amefanya kazi kama RC katika mikoa ya Lindi, Kagera na Tanga.
Marehemu atakumbukwa kwa uadilifu wake, uzalendo wake kwa taifa, uchapakazi na kutopenda kujikuza.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu ampe makazi Mwema pema peponi na awape familia yake uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.
"Tenda wema naenda zako" ni kauli aliyoitumia sana wakati wa uhai wake
Kifo ni kifo tuAliyekuwa Kanali mstaafu wa JWTZ Mzee wetu Ayoub Mwinyimvua Simba amefariki siku ya Ijumaa tarehe 9/5/2025 na kuzikwa na tarehe 10/5/2025 katika makaburi ya Kisutu Dar es Salaam.
Kanali Simba mbali na kufanya ya kulibadili kesho kuwa la wananchi, alifanya kazi kama msaidizi wa karibu wa Mwalimu Nyerere na naibu Katibu mkuu wa kwanza wa CCM upande wa Zanzibar, alihudumu pia katika balozi kama MA katika balozi mbali. Aidha amefanya kazi kama RC katika mikoa ya Lindi, Kagera na Tanga.
Marehemu atakumbukwa kwa uadilifu wake, uzalendo wake kwa taifa, uchapakazi na kutopenda kujikuza.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu ampe makazi Mwema pema peponi na awape familia yake uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.
"Tenda wema naenda zako" ni kauli aliyoitumia sana wakati wa uhai wake
Hili jina sio geni.Aliyekuwa Kanali mstaafu wa JWTZ Mzee wetu Ayoub Mwinyimvua Simba amefariki siku ya Ijumaa tarehe 9/5/2025 na kuzikwa na tarehe 10/5/2025 katika makaburi ya Kisutu Dar es Salaam.
Kanali Simba mbali na kufanya ya kulibadili kesho kuwa la wananchi, alifanya kazi kama msaidizi wa karibu wa Mwalimu Nyerere na naibu Katibu mkuu wa kwanza wa CCM upande wa Zanzibar, alihudumu pia katika balozi kama MA katika balozi mbali. Aidha amefanya kazi kama RC katika mikoa ya Lindi, Kagera na Tanga.
Marehemu atakumbukwa kwa uadilifu wake, uzalendo wake kwa taifa, uchapakazi na kutopenda kujikuza.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu ampe makazi Mwema pema peponi na awape familia yake uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.
"Tenda wema naenda zako" ni kauli aliyoitumia sana wakati wa uhai wake
Shikamoo mkuu 🤣 🤣 🤣 🤣R.i.P Classmate....😪
Sema ilikua ghafla sana dahhh...😥
Kama ni hivyo apumzike Kwa amani!Nadhani alikuwa CCM enzi ya chama kimoja. Baada ya hapo alistaafu baada ya kutoridhishwa na yalioendelea. Amezikwa bila mizinga Wala nguo yoyote ya kijani