Kanali Mstaafu, Simbakalia: Afrika isikubali kutawaliwa kifrika na mataifa ya Magharibi

Kanali Mstaafu, Simbakalia: Afrika isikubali kutawaliwa kifrika na mataifa ya Magharibi

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Kanali Mstaafu, Joseph Simbakalia amesema kuwa nchi za Afrika zinapaswa kujikomboa kifikra kwa kuondoa mtazamo wa kudhani kuwa mataifa ya magharibi ndio yenye mamlaka ya kuamua mustakabali wa mambo ya nchi za Afrika ikiwemo matumizi ya rasilimali zake.

Ameongeza kuwa Afrika inapaswa kuungana na kuwa kitu kimoja ili iweze kujenga uchumi imara utakaosaidia nchi zake huku akitaja baadhi ya changamoto ikiwemo migororo miongoni mwa nchi za kiafrika kuwa ni kikwazo kikubwa kinachorudisha nyumba juhudi za umoja huo.

Simbakalia ameeleza hayo hii leo Januari 21, 2026 kupitia Kipindi cha Mizani cha TBC1 wakati akichangia mada inayohusu Afrika katika muktadha wa siasa za kikanda.

 
Back
Top Bottom