Kananyonya kama baba yake

Watakuja wana jf waseme wamecheka mño mpk ofisi nzima imewashangaa (kila mtu yupo ofisini)
hahhha, nimecheka kwa sauti hadi mkurugenzi wetu na watumishi wote hapa ofisini kwetu wamenishangaa, raha sana kuwa na ofisi. Yaani hadi wateja wote waliokuwa wanakunywa chai hapa kwenye hii ofisi yetu ya mama lishe wamecheka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…