Kanda ya Kaskazini : Kwanini wanadharau vigari vyetu vidogo na kuviita viberiti ?

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
Moshi na Arusha vijana wana dharau sana , si wanawake , si wanaume na wala si wazee !

Ukiwa na Passo, ist, Starlet, Porte, Runx, Allex unapata taabu sana. Wanaiita hivyo vigari mara Kobe, mara Viberiti n.k.

Sijui kwakuwa wao wana magari makubwa makubwa Subaru , Harriers, Fortuners n.k!

Kule Dar wamama wanatembelea vigari vidogo. Arusha na Moshi ni tofauti sana. Wengi wanaendesha masubaru na yanapiga sana kelele!

Ukiwa na Kiberiti peleka huko Lindi na Ntwara!
 
Moshi ama Arusha, kuuzunguka mji mzima haimalizi nusu saa. Hata uwe na V8, ni rahisi kumudu wese. On the contrary, Dar ni jiji kubwa. Kutoka Tegeta mmpaka tu Sinza kuna km kama 20 hivyo unahitaji uwe na gari dogo ili uweze kumudu mizunguko ya siku.
 
Unakosea sana. Sema arusha mjini ndio ndogo. Ila arusha yenyewe huwez imaliza siku moja. Arusha asilimia kubwa imezungukwa na mapori na misitu na milima... sehem ilijengeka(mjini) ni asilimia ndogo sana.

Arusha mjini ni padogo lakin ukitoka nje ya mji ndio utajua kuwa arusha ni kubwa.
 
Kasema kuzunguka mji sio kwenda maporini
 
Moshi ama Arusha, kuuzunguka mji mzima haimalizi nusu saa. Hata uwe na V8, ni rahisi kumudu wese. On the contrary, Dar ni jiji kubwa. Kutoka Tegeta mmpaka tu Sinza kuna km kama 20 hivyo unahitaji uwe na gari dogo ili uweze kumudu mizunguko ya siku.

Sidhani kama kuna ukweli mdada sijui kwa kweli

Ila nacho jua mimi nikwamba kilimanjaro na arusha ni kubwa kuliko dar kwa km za mraba ila dar kumejengeka nikimaanisha sehemu ya mji ni kubwa kutokana na idadi ya watu hii ni tofauti na arusha au kilimanjaro

Pia kutumia magari madogo kwa jiji la dar nadhani usababishwa na foleni ila dar ni ndogo unaweza kwenda wilaya moja hadi nyingine in a matter of seconds ila foleni hufanya safari kuwa ndefu kidogo

Ni hayo tu
 
Hata sisi tuliopo Lindi hatutaki viberiti ....labda mpeleke kigoma na rukwa
 
Kasema kuzunguka mji sio kwenda maporini
Nilikuwa nafafanua tu kuwa huyu bwana anasema arusha anaizunguka siku moja . Ndio nikmwambia kuwa arusha mjini ndio ndogo.. ila arusha yenyewe kama mkoa ni kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…