Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Moshi na Arusha vijana wana dharau sana , si wanawake , si wanaume na wala si wazee !
Ukiwa na Passo, ist, Starlet, Porte, Runx, Allex unapata taabu sana. Wanaiita hivyo vigari mara Kobe, mara Viberiti n.k.
Sijui kwakuwa wao wana magari makubwa makubwa Subaru , Harriers, Fortuners n.k!
Kule Dar wamama wanatembelea vigari vidogo. Arusha na Moshi ni tofauti sana. Wengi wanaendesha masubaru na yanapiga sana kelele!
Ukiwa na Kiberiti peleka huko Lindi na Ntwara!