Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
πStori kama hizi zilibamba miaka 20 nyuma huko,yawezekana umeokota gazeti la zamani ukadhani la leo,pole.
Man, umeandika ujinga aise ..........Hii kanda nu kama wamelaaniwa aisee yaani wana matukio ya ajabu sana na ndiyo kanda ambayo watu wanajinasibu kwamba wameelimika sasa utaelimika vipi wakati bado mnajisaidia maporini huko? Na ni kanda ambayo watu wanapenda ugomvi na ujambazi kuliko kanda yotote ile hii kanda sijui ipoje yaani ukitoa Tanga na Manyara ambayo kidogo wamestaarabika kwa kuwa watulivu na wapole ila Kilimanjaro na Arusha ni funga kazi hawa watu hawajielewi hata kidogo aisee
Ni kanda ambayo mtu anaweza kukuua kwasababu ya pesa ndogo tu na hawa kwa utapeli na kudhulumiana ni kitu cha kawaida ukiitoa Manyara atleast ila mikoa mingine Iliyobaki wanapenda sana utapeli na dhuluma na nakumbuka nilimkosa kumtandika ngumi mchaga mmoja pale stendi kuu ya Moshi aliyekuwa anataka kunitapeli na watu wa Arusha kuna vijana niliwavunja taya kwa ujinga wao wa kutaka kutapeli watu.
Kanda ya ajabu sana hii
Hii kanda nu kama wamelaaniwa aisee yaani wana matukio ya ajabu sana na ndiyo kanda ambayo watu wanajinasibu kwamba wameelimika sasa utaelimika vipi wakati bado mnajisaidia maporini huko? Na ni kanda ambayo watu wanapenda ugomvi na ujambazi kuliko kanda yotote ile hii kanda sijui ipoje yaani ukitoa Tanga na Manyara ambayo kidogo wamestaarabika kwa kuwa watulivu na wapole ila Kilimanjaro na Arusha ni funga kazi hawa watu hawajielewi hata kidogo aisee
Ni kanda ambayo mtu anaweza kukuua kwasababu ya pesa ndogo tu na hawa kwa utapeli na kudhulumiana ni kitu cha kawaida ukiitoa Manyara atleast ila mikoa mingine Iliyobaki wanapenda sana utapeli na dhuluma na nakumbuka nilimkosa kumtandika ngumi mchaga mmoja pale stendi kuu ya Moshi aliyekuwa anataka kunitapeli na watu wa Arusha kuna vijana niliwavunja taya kwa ujinga wao wa kutaka kutapeli watu.
Kanda ya ajabu sana hii
π π π π π kumbe kauza korosho anaanza matusiupuuuzi mtupu umehangaika kwa wasukuma ukaona uje huku tutakuua ukiwa unajiona na pesa zako za korosho
kauza korosho kwenye vyama vya ushirika huyuπ π π π π kumbe kauza korosho anaanza matusi
Kanda ya vinywaji πMimi sina kanda mkuu, popote pale na weza kuishi tu
Kanda zote tu wanadunga vinywaji, huko kusini kukuta mtu kavimba mashavu kwa pombe chafu ni kawaida mbonaKanda ya vinywaji π