Kanda ya Kaskazini ni kanda ya ajabu sana. Sijui wapoje?

Kanda zote tu wanadunga vinywaji, huko kusini kukuta mtu kavimba mashavu kwa pombe chafu ni kawaida mbona
nilikuwa nasema wewe kanda yako ni ya vinywaji tu hizo nyingine kusini,kaskazini, kanda ya ziwa hujali 😁
 
Hii kanda nu kama wamelaaniwa aisee yaani wana matukio ya ajabu sana na ndiyo kanda ambayo watu wanajinasibu kwamba wameelimika sasa utaelimika vipi wakati bado mnajisaidia maporini huko? Na ni kanda ambayo watu wanapenda ugomvi na ujambazi kuliko kanda yotote ile hii kanda sijui ipoje yaani ukitoa Tanga na Manyara ambayo kidogo wamestaarabika kwa kuwa watulivu na wapole ila Kilimanjaro na Arusha ni funga kazi hawa watu hawajielewi hata kidogo aisee

Ni kanda ambayo mtu anaweza kukuua kwasababu ya pesa ndogo tu na hawa kwa utapeli na kudhulumiana ni kitu cha kawaida ukiitoa Manyara atleast ila mikoa mingine Iliyobaki wanapenda sana utapeli na dhuluma na nakumbuka nilimkosa kumtandika ngumi mchaga mmoja pale stendi kuu ya Moshi aliyekuwa anataka kunitapeli na watu wa Arusha kuna vijana niliwavunja taya kwa ujinga wao wa kutaka kutapeli watu.

Kanda ya ajabu sana hii
IMG_20260212_142631.jpg

Unaonaje ikianza kuwasakama akina Samia,mwanae Abdul na Hussein Mwinyi. Inaonekana wanakunya vichakani sana hata kina Ngosha wanasubiri.
 
Na ndio iliyoendesha MO29 Kwa kusaidiana na kanda ya ziwa na Nyanda za juu kusini.
Maeneo yote yaliyokuwa na wakazi wengi kutoka kanda ya kaskazini yalileta vurugu.

Kwa lugha rahisi ni kanda inayotoka makabila Yenye msimamo mkali na damu yenye hasira
MO29 kusini , Pwani na Magharibi kulipoa kabisa
 
Hii kanda nu kama wamelaaniwa aisee yaani wana matukio ya ajabu sana na ndiyo kanda ambayo watu wanajinasibu kwamba wameelimika sasa utaelimika vipi wakati bado mnajisaidia maporini huko? Na ni kanda ambayo watu wanapenda ugomvi na ujambazi kuliko kanda yotote ile hii kanda sijui ipoje yaani ukitoa Tanga na Manyara ambayo kidogo wamestaarabika kwa kuwa watulivu na wapole ila Kilimanjaro na Arusha ni funga kazi hawa watu hawajielewi hata kidogo aisee

Ni kanda ambayo mtu anaweza kukuua kwasababu ya pesa ndogo tu na hawa kwa utapeli na kudhulumiana ni kitu cha kawaida ukiitoa Manyara atleast ila mikoa mingine Iliyobaki wanapenda sana utapeli na dhuluma na nakumbuka nilimkosa kumtandika ngumi mchaga mmoja pale stendi kuu ya Moshi aliyekuwa anataka kunitapeli na watu wa Arusha kuna vijana niliwavunja taya kwa ujinga wao wa kutaka kutapeli watu.

Kanda ya ajabu sana hii
Uongo mtupu.

Kanda zote zina watu wenye hizo tabia.
 
Sio kweli..unaona ina matukio ya ajabu kwasababu kuna nwandishi maalum ameamua kuripoti habari za namna hiyo kutoka kaskazini tu. Jitolee wewe ukaripori matukio ya mkoa mwingine halafu uje hapa ulete majibu. Mambo mengi kwenye mikoa mingine hayaripotiwi..wanaripoti siasa tu.
 
Walikuona boya ndio maana wakataka wakuingize mjini.

Utakuwa umekaa kiluga Luga mno ndio maana unakutana na matukio.
 
Hii kanda nu kama wamelaaniwa aisee yaani wana matukio ya ajabu sana na ndiyo kanda ambayo watu wanajinasibu kwamba wameelimika sasa utaelimika vipi wakati bado mnajisaidia maporini huko? Na ni kanda ambayo watu wanapenda ugomvi na ujambazi kuliko kanda yotote ile hii kanda sijui ipoje yaani ukitoa Tanga na Manyara ambayo kidogo wamestaarabika kwa kuwa watulivu na wapole ila Kilimanjaro na Arusha ni funga kazi hawa watu hawajielewi hata kidogo aisee

Ni kanda ambayo mtu anaweza kukuua kwasababu ya pesa ndogo tu na hawa kwa utapeli na kudhulumiana ni kitu cha kawaida ukiitoa Manyara atleast ila mikoa mingine Iliyobaki wanapenda sana utapeli na dhuluma na nakumbuka nilimkosa kumtandika ngumi mchaga mmoja pale stendi kuu ya Moshi aliyekuwa anataka kunitapeli na watu wa Arusha kuna vijana niliwavunja taya kwa ujinga wao wa kutaka kutapeli watu.

Kanda ya ajabu sana hii
Wasukuma wamekupopoa mawe umekimbilia kaskazini sasa, au ndiyo una-neutralise isionekane chuki zako kwa akina Ngosha ni personal.
 
Hii kanda nu kama wamelaaniwa aisee yaani wana matukio ya ajabu sana na ndiyo kanda ambayo watu wanajinasibu kwamba wameelimika sasa utaelimika vipi wakati bado mnajisaidia maporini huko? Na ni kanda ambayo watu wanapenda ugomvi na ujambazi kuliko kanda yotote ile hii kanda sijui ipoje yaani ukitoa Tanga na Manyara ambayo kidogo wamestaarabika kwa kuwa watulivu na wapole ila Kilimanjaro na Arusha ni funga kazi hawa watu hawajielewi hata kidogo aisee

Ni kanda ambayo mtu anaweza kukuua kwasababu ya pesa ndogo tu na hawa kwa utapeli na kudhulumiana ni kitu cha kawaida ukiitoa Manyara atleast ila mikoa mingine Iliyobaki wanapenda sana utapeli na dhuluma na nakumbuka nilimkosa kumtandika ngumi mchaga mmoja pale stendi kuu ya Moshi aliyekuwa anataka kunitapeli na watu wa Arusha kuna vijana niliwavunja taya kwa ujinga wao wa kutaka kutapeli watu.

Kanda ya ajabu sana hii
ARUSHA RAIA WANA USELA MAVI SANA
 
Back
Top Bottom