nilikuwa nasema wewe kanda yako ni ya vinywaji tu hizo nyingine kusini,kaskazini, kanda ya ziwa hujali 😁Kanda zote tu wanadunga vinywaji, huko kusini kukuta mtu kavimba mashavu kwa pombe chafu ni kawaida mbona
Hii kanda nu kama wamelaaniwa aisee yaani wana matukio ya ajabu sana na ndiyo kanda ambayo watu wanajinasibu kwamba wameelimika sasa utaelimika vipi wakati bado mnajisaidia maporini huko? Na ni kanda ambayo watu wanapenda ugomvi na ujambazi kuliko kanda yotote ile hii kanda sijui ipoje yaani ukitoa Tanga na Manyara ambayo kidogo wamestaarabika kwa kuwa watulivu na wapole ila Kilimanjaro na Arusha ni funga kazi hawa watu hawajielewi hata kidogo aisee
Ni kanda ambayo mtu anaweza kukuua kwasababu ya pesa ndogo tu na hawa kwa utapeli na kudhulumiana ni kitu cha kawaida ukiitoa Manyara atleast ila mikoa mingine Iliyobaki wanapenda sana utapeli na dhuluma na nakumbuka nilimkosa kumtandika ngumi mchaga mmoja pale stendi kuu ya Moshi aliyekuwa anataka kunitapeli na watu wa Arusha kuna vijana niliwavunja taya kwa ujinga wao wa kutaka kutapeli watu.
Kanda ya ajabu sana hii
Kote ni kwangu tu mkuu, vinywaji ni kuchangamsha kichwa tunilikuwa nasema wewe kanda yako ni ya vinywaji tu hizo nyingine kusini,kaskazini, kanda ya ziwa hujali 😁
Mkuu Muda si mrefu huyu pimbi atahamia kanda yako ya katiNipo pale juu ya ukuta nawazoom tu nione mtaishia wapi?
MO29 kusini , Pwani na Magharibi kulipoa kabisaNa ndio iliyoendesha MO29 Kwa kusaidiana na kanda ya ziwa na Nyanda za juu kusini.
Maeneo yote yaliyokuwa na wakazi wengi kutoka kanda ya kaskazini yalileta vurugu.
Kwa lugha rahisi ni kanda inayotoka makabila Yenye msimamo mkali na damu yenye hasira
Tupumzishwe ila ulituachia msala kijana
Atakutana na machalanga chalanga ageuke kwao nusu kiwiliwili.Mkuu Muda si mrefu huyu pimbi atahamia kanda yako ya kati
anazunguka kanda zoote!
Duh mkuu wewe si mtumishi wa yesuAtakutana na machalanga chalanga ageuke kwao nusu kiwiliwili.
Utakatifu haimaanishi kuwa mwema kwa kila mtu, mapanga yatamfyeka tu.Duh mkuu wewe si mtumishi wa yesu
mapanga tenaa..
Ok mpaka jpil atakuwa huko kwenu sisi kanda ya ziwa vichaa wengi tulimdhibiti pimbi huyu
kazi kwako Mjusi!
Uongo mtupu.Hii kanda nu kama wamelaaniwa aisee yaani wana matukio ya ajabu sana na ndiyo kanda ambayo watu wanajinasibu kwamba wameelimika sasa utaelimika vipi wakati bado mnajisaidia maporini huko? Na ni kanda ambayo watu wanapenda ugomvi na ujambazi kuliko kanda yotote ile hii kanda sijui ipoje yaani ukitoa Tanga na Manyara ambayo kidogo wamestaarabika kwa kuwa watulivu na wapole ila Kilimanjaro na Arusha ni funga kazi hawa watu hawajielewi hata kidogo aisee
Ni kanda ambayo mtu anaweza kukuua kwasababu ya pesa ndogo tu na hawa kwa utapeli na kudhulumiana ni kitu cha kawaida ukiitoa Manyara atleast ila mikoa mingine Iliyobaki wanapenda sana utapeli na dhuluma na nakumbuka nilimkosa kumtandika ngumi mchaga mmoja pale stendi kuu ya Moshi aliyekuwa anataka kunitapeli na watu wa Arusha kuna vijana niliwavunja taya kwa ujinga wao wa kutaka kutapeli watu.
Kanda ya ajabu sana hii
Sio kweli..unaona ina matukio ya ajabu kwasababu kuna nwandishi maalum ameamua kuripoti habari za namna hiyo kutoka kaskazini tu. Jitolee wewe ukaripori matukio ya mkoa mwingine halafu uje hapa ulete majibu. Mambo mengi kwenye mikoa mingine hayaripotiwi..wanaripoti siasa tu.Hii kanda nu kama wamelaaniwa aisee yaani wana matukio ya ajabu sana na ndiyo kanda ambayo watu wanajinasibu kwamba wameelimika sasa utaelimika vipi wakati bado mnajisaidia maporini huko? Na ni kanda ambayo watu wanapenda ugomvi na ujambazi kuliko kanda yotote ile hii kanda sijui ipoje yaani ukitoa Tanga na Manyara ambayo kidogo wamestaarabika kwa kuwa watulivu na wapole ila Kilimanjaro na Arusha ni funga kazi hawa watu hawajielewi hata kidogo aisee
Ni kanda ambayo mtu anaweza kukuua kwasababu ya pesa ndogo tu na hawa kwa utapeli na kudhulumiana ni kitu cha kawaida ukiitoa Manyara atleast ila mikoa mingine Iliyobaki wanapenda sana utapeli na dhuluma na nakumbuka nilimkosa kumtandika ngumi mchaga mmoja pale stendi kuu ya Moshi aliyekuwa anataka kunitapeli na watu wa Arusha kuna vijana niliwavunja taya kwa ujinga wao wa kutaka kutapeli watu.
Kanda ya ajabu sana hii
umefikiwa bwasheePole
Wasukuma wamekupopoa mawe umekimbilia kaskazini sasa, au ndiyo una-neutralise isionekane chuki zako kwa akina Ngosha ni personal.Hii kanda nu kama wamelaaniwa aisee yaani wana matukio ya ajabu sana na ndiyo kanda ambayo watu wanajinasibu kwamba wameelimika sasa utaelimika vipi wakati bado mnajisaidia maporini huko? Na ni kanda ambayo watu wanapenda ugomvi na ujambazi kuliko kanda yotote ile hii kanda sijui ipoje yaani ukitoa Tanga na Manyara ambayo kidogo wamestaarabika kwa kuwa watulivu na wapole ila Kilimanjaro na Arusha ni funga kazi hawa watu hawajielewi hata kidogo aisee
Ni kanda ambayo mtu anaweza kukuua kwasababu ya pesa ndogo tu na hawa kwa utapeli na kudhulumiana ni kitu cha kawaida ukiitoa Manyara atleast ila mikoa mingine Iliyobaki wanapenda sana utapeli na dhuluma na nakumbuka nilimkosa kumtandika ngumi mchaga mmoja pale stendi kuu ya Moshi aliyekuwa anataka kunitapeli na watu wa Arusha kuna vijana niliwavunja taya kwa ujinga wao wa kutaka kutapeli watu.
Kanda ya ajabu sana hii
ARUSHA RAIA WANA USELA MAVI SANAHii kanda nu kama wamelaaniwa aisee yaani wana matukio ya ajabu sana na ndiyo kanda ambayo watu wanajinasibu kwamba wameelimika sasa utaelimika vipi wakati bado mnajisaidia maporini huko? Na ni kanda ambayo watu wanapenda ugomvi na ujambazi kuliko kanda yotote ile hii kanda sijui ipoje yaani ukitoa Tanga na Manyara ambayo kidogo wamestaarabika kwa kuwa watulivu na wapole ila Kilimanjaro na Arusha ni funga kazi hawa watu hawajielewi hata kidogo aisee