wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
inashangaza sana kuona mpaka sasa ukanda huu hauna chuo kikuu cha serikali licha ya kuwa sehemu inayotoa wasomi wengi na kuwa na jiji kubwa la Mwanza.
vyup utavyovikuta ni vya kati tena ni matawi yaliyojengwa miaka ya karibu, mifano tia, ifm, cbe, dit, n.k.
Chuo kikuu cha serikali hakuna, kile cha Saint Augastine ni cha kanisa, bado kipo nyuma mambo mengi huwezi kukilinganisha hata na Mzumbe achilia mbali Udsm na Udom.