wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Nyerere ndo alikuwa mpuuzi hata Musoma hakuna chuo Kikuu! Akarundika vyuo vikuu Pwani,Kaskazini,Nyanda za juu kusini nk! Hofu yake kubwa ilikuwa watu wa Kanda ya Ziwa hasa Wasukuma wakisoma watamsumbua sana!inashangaza sana kuona mpaka sasa ukanda huu hauna chuo kikuu cha serikali licha ya kuwa sehemu inayotoa wasomi wengi na kuwa na jiji kubwa la Mwanza.
vyup utavyovikuta ni vya kati tena ni matawi yaliyojengwa miaka ya karibu, mifano tia, ifm, cbe, dit, n.k.
Chuo kikuu cha serikali hakuna, kile cha Saint Augastine ni cha kanisa, bado kipo nyuma mambo mengi huwezi kukilinganisha hata na Mzumbe achilia mbali Udsm na Udom.
Hapana alikuwa na mpango wa kujenga chuo kikubwa sana hapo Shinyanga! Licha ya hivo ni bora yeye alikumbuka kujenga kanda ya ziwa kwa maana Nyerere hospital aliyoinzisha mwaka 1976 ilimshinda kumaliza mpaka JPM akaja kumalizia! Hata hilo Daraja ni muhimu sana na bila yeye kuna uwezekano tungechukua hata miaka 50 mbele kuja upata daraja kama hilo!Hata Magufuli hakuwa na maono haya, akatumia 700 bili kujenga daraja pesa ambazo angeweka kwenye elimu ya juu Mwanza pangekaa chuo kikuu kimoja matata sana. Aibuu