Kanda ya Ziwa: Kwanini karibia Viongozi wote huibukia huko?

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Hivi hii hutokea tu kwamba kila matukio yakitokea basi Watawala wengi hupotea na kuibikia huko Kanda ya Ziwa Mikoa ya Kagera au Mara na Mwanza, huwa matukio yanawakutia huko kwamba imetokea tu wakawa huko mipakani au kuna mengineyo?

Hata Tundu Lisu hatujui yuko wapi sasa hivi binafsi sijamsikia lkn mara ya mwisho alikuwa huko huko mipakani.

Kikwete naye kaibukia huko huko pia kuongelea hali ya kisiasa nchini …
 
20230818_061329.jpg
KANGI LUGOLA
 
Ziwa kuna watu zaidi ya 20M ndiyo maana watawala hukimbilia huko
 
Kuna ushawishi mkubwa.
Ila hili la bandari tutasimama na wazalamo maana wako bize kuvaa madela na kucheza Ngoma.

Rudisheni bandari yetu
 
Back
Top Bottom