Kanda ya ziwa: Lini kutakuwa na kiwanda cha Dagaa, Sangara na Sato

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,446
Reaction score
1,645
Habari Tanzania !

Eti lini wapendwa mtaleta Viwanda vya kuchakata Dagaa na Samaki ?

Au ndio kusema mmeamua kuwaacha na mambo yao yote Kanda ziwa ?

Onyesheni basi maupendo jamani.

NB
Masoko yapo ila viwanda hakuna.
 
Si tiyari vipo lakin naamini 1na 2 grade hatugusagi inaendaga njee mojakwa moja
 
Kwamba kuchakata ili iwe at what form ? Kutengeneza Fillet ? ; Vilikuwepo viwanda binafsi vingi vya kupelekea nje ila vilipungua nadhani kutokana na masoko na profit kuwa ndogo; Dagaa ? nadhani uchakataji unafanyika ndio hivyo wa kuanika na kukaanga watu wananunua (tunalishana) after all nadhani tatizo kubwa kwetu ni kipato (buying power) tukiwa na kipato hata watu watahangaika huko nje na kusema tupeleke vitu fulani Tanzania..., Tunapoelekea hili ziwa haliwezi kulisha hata walaji wa ndani (demand outstrips supply)

Ingekuwa inalipa hata wewe ungeweza kuweka a processing plant (kama mtu binafsi) kuliko UMMA - UMMA ubakie kwenye commanding Heights of the Country Economy
 
Nahisi maumivu sana:
1. Uchanja wa Dagaa ni kiwanda ?
2. Kuanika samaki (kayabo) juani ni kiwanda?
3. Kuwoka Samaki kwa moshi kuni (Shibambala) ni kiwanda ?
 
Technically ndio ; kutumia overheads ndogo iwezekanavyo (gharama) kuliko alternative; useme uanze kuanika kwa kutumia Dehydrators kwa umeme huu wa gharama hizi za units utamuuzia nani hio product ? Ukisema upeleke ulaya bado vibali vya kufa mtu na huko nje watakulima vikwazo eti wanataka grade A (ili mradi tu kulinda vya kwao)
 
Fish farming ndio big deal kutasaidia sana kuongeza mavuno bila kuathiri stock za samaki ziwani.
 
Kwamba kuchakata ili iwe at what form ? Kutengeneza Fillet ? ; Vilikuwepo viwanda binafsi vingi vya kupelekea nje ila vilipungua nadhani kutokana na masoko na profit kuwa ndogo; Dagaa ? nadhani uchakataji unafanyika ndio hivyo wa kuanika na kukaanga watu wananunua (tunalishana) after all nadhani tatizo kubwa kwetu ni kipato (buying power) tukiwa na kipato hata watu watahangaika huko nje na kusema tupeleke vitu fulani Tanzania..., Tunapoelekea hili ziwa haliwezi kulisha hata walaji wa ndani (demand outstrips supply)

Ingekuwa inalipa hata wewe ungeweza kuweka a processing plant (kama mtu binafsi) kuliko UMMA - UMMA ubakie kwenye commanding Heights of the Country Economy
Samaki wameisha ziwani,wanapatikana ni wachache mno kwa ajili ya mboga
 
Fish farming ya ndani ya ziwa na nje ya ziwa ipi unadhani itakuwa nafuu kuanzisha?

Haaaaahaaaaa !
Kuanzisha nini tena?
Mimi hoja yangu pawepo uwekezaji mzuri; kuwepo na Meli za Uvuvi na uwepo wa Viwanda karibu na Ziwa.

Pakiwepo Meli zenye kwenda kina kirefu kufanya Uvuvi na uhakika wa Viwanda; wananchi watabadilika tabia na kuanza mtindo mpya wa maisha. Maana watu wengi wataanza kuwa wanachua bidhaa Dagaa na Samaki toka Viwandani na kwenda kupeleka kwenye Masoko yaliyopo sasa hasa haya yanayohudumia wananchi.
 
Samaki wameisha ziwani,wanapatikana ni wachache mno kwa ajili ya mboga
Kwa hao wasomi wanajua namna bora ya kuongeza Uzalishaji na sio ujinga wa uwepo wa vizimba sijui nani aliyatoa haya mawazo. Tuna uwezo wa kuwafanya Dagaa na Samaki kuwa hybrid vizuri tu na maisha yakawa sawa.

NB
Always natural resources are limited. Hii inajulikana na hao wasomi.
 
Haaaaahaaaaa !
Kuanzisha nini tena?
Mimi hoja yangu pawepo uwekezaji mzuri; kuwepo na Meli za Uvuvi na uwepo wa Viwanda karibu na Ziwa.

Pakiwepo Meli zenye kwenda kina kirefu kufanya Uvuvi na uhakika wa Viwanda; wananchi watabadilika tabia na kuanza mtindo mpya wa maisha. Maana watu wengi wataanza kuwa wanachua bidhaa Dagaa na Samaki toka Viwandani na kwenda kupeleka kwenye Masoko yaliyopo sasa hasa haya yanayohudumia wananchi.
Mwanza kuna viwanda kadhaa vya samaki pale Mwanza south.
 
Haaaaahaaaaa hiyo ni Mwanza ya 2005 kurudi Nyuma. Unazungumzia VickFish Company Ltd; sasa hivi wanajenga SGR na Reli imepita hapo, kwahiyo hakuna kiwanda.
 
Back
Top Bottom