Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,446
- 1,645
Hmmmm !Siku CCM ikitoka madarakani
HaaaaahaaaaaSi tiyari vipo lakin naamini 1na 2 grade hatugusagi inaendaga njee mojakwa moja
Nahisi maumivu sana:Kwamba kuchakata ili iwe at what form ? Kutengeneza Fillet ? ; Vilikuwepo viwanda binafsi vingi vya kupelekea nje ila vilipungua nadhani kutokana na masoko na profit kuwa ndogo; Dagaa ? nadhani uchakataji unafanyika ndio hivyo wa kuanika na kukaanga watu wananunua (tunalishana) after all nadhani tatizo kubwa kwetu ni kipato (buying power) tukiwa na kipato hata watu watahangaika huko nje na kusema tupeleke vitu fulani Tanzania..., Tunapoelekea hili ziwa haliwezi kulisha hata walaji wa ndani (demand outstrips supply)
Ingekuwa inalipa hata wewe ungeweza kuweka a processing plant (kama mtu binafsi) kuliko UMMA - UMMA ubakie kwenye commanding Heights of the Country Economy
Technically ndio ; kutumia overheads ndogo iwezekanavyo (gharama) kuliko alternative; useme uanze kuanika kwa kutumia Dehydrators kwa umeme huu wa gharama hizi za units utamuuzia nani hio product ? Ukisema upeleke ulaya bado vibali vya kufa mtu na huko nje watakulima vikwazo eti wanataka grade A (ili mradi tu kulinda vya kwao)Nahisi maumivu sana:
1. Uchanja wa Dagaa ni kiwanda ?
2. Kuanika samaki (kayabo) juani ni kiwanda?
3. Kuwoka Samaki kwa moshi kuni (Shibambala) ni kiwanda ?
Sijui kwanini tunachelewa kila mwaka kuanza.Fish farming ndio big deal kutasaidia sana kuongeza mavuno bila kuathiri stock za samaki ziwani.
Fish farming ya ndani ya ziwa na nje ya ziwa ipi unadhani itakuwa nafuu kuanzisha?Sijui kwanini tunachelewa kila mwaka kuanza.
Samaki wameisha ziwani,wanapatikana ni wachache mno kwa ajili ya mbogaKwamba kuchakata ili iwe at what form ? Kutengeneza Fillet ? ; Vilikuwepo viwanda binafsi vingi vya kupelekea nje ila vilipungua nadhani kutokana na masoko na profit kuwa ndogo; Dagaa ? nadhani uchakataji unafanyika ndio hivyo wa kuanika na kukaanga watu wananunua (tunalishana) after all nadhani tatizo kubwa kwetu ni kipato (buying power) tukiwa na kipato hata watu watahangaika huko nje na kusema tupeleke vitu fulani Tanzania..., Tunapoelekea hili ziwa haliwezi kulisha hata walaji wa ndani (demand outstrips supply)
Ingekuwa inalipa hata wewe ungeweza kuweka a processing plant (kama mtu binafsi) kuliko UMMA - UMMA ubakie kwenye commanding Heights of the Country Economy
Fish farming ya ndani ya ziwa na nje ya ziwa ipi unadhani itakuwa nafuu kuanzisha?
Kwa hao wasomi wanajua namna bora ya kuongeza Uzalishaji na sio ujinga wa uwepo wa vizimba sijui nani aliyatoa haya mawazo. Tuna uwezo wa kuwafanya Dagaa na Samaki kuwa hybrid vizuri tu na maisha yakawa sawa.Samaki wameisha ziwani,wanapatikana ni wachache mno kwa ajili ya mboga
Mwanza kuna viwanda kadhaa vya samaki pale Mwanza south.Haaaaahaaaaa !
Kuanzisha nini tena?
Mimi hoja yangu pawepo uwekezaji mzuri; kuwepo na Meli za Uvuvi na uwepo wa Viwanda karibu na Ziwa.
Pakiwepo Meli zenye kwenda kina kirefu kufanya Uvuvi na uhakika wa Viwanda; wananchi watabadilika tabia na kuanza mtindo mpya wa maisha. Maana watu wengi wataanza kuwa wanachua bidhaa Dagaa na Samaki toka Viwandani na kwenda kupeleka kwenye Masoko yaliyopo sasa hasa haya yanayohudumia wananchi.
Haaaaahaaaaa hiyo ni Mwanza ya 2005 kurudi Nyuma. Unazungumzia VickFish Company Ltd; sasa hivi wanajenga SGR na Reli imepita hapo, kwahiyo hakuna kiwanda.Mwanza kuna viwanda kadhaa vya samaki pale Mwanza south.