Ngungenge
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,914
- 3,386
Ni dhahiri JPM alikua Shuja wa kanda ya ziwa.
Ni dhahiri katika utawala wake kanda ya ziwa mlifaidi, wapo ambao mlipitisha mafuta bila kulipa kodi, mkanunua magari na kupiga ela.
Mpo mliotumia ukabila kupata tenda nono za ujenzi, MSD na nguzo za umeme nchi nzima
Mpo mliotengeneza kikundi cha kikabila na agenda zenu za kuweka watu wenu kila idara na kuua biashara za watu ilI mfanye nyie mkawalipa akina musiba kuwatukana watu kwa kujifanya mnakipigania chama kumbe nyuma ya pazia mnalamba asali
Tunajua kuwa mlifaidi kwa uwepo wake
Jambo la msingi mnatakiwa kujua kuwa JPM alichaguliwa na watanzania kama alipotoka kwa kuwapendelea tumemsamehe na tunamkumbuka kwa kazi zake
Sisi wazalendo hatutaki vurugu mnazoleta kwenye nchi hii.
Raisi wetu wa sasa ni Dr. Samia Suluhu Hassan. Kama hamumtaki subirini amalize muda wake
Nchi hii inakanda nyingi na Tanzania sio kanda ya ziwa pekoe
Over