Kanda ya ziwa, msichukulie kifo cha Magufuli kama jambo la ukanda

Mwendazake angewaheshimu watangulizi wake naamini hata yeye watu wangeliheshimu kaburi lake. Lakini alilewa madaraka na akajiona Sana. Alikuwa anazungumza peke yake Tanzania nzima,hakutaka wengine wazungumze madhara yake ndio haya. Watu wanajibizana na maiti na huku wakijua kuwa dead issue never talk. Mwendazake hakutaka kabisa kuambiwa ukweli unaomuhusu. Wacha watu wazungumze na wafu kwasababu alikuwa mkali kipindi Cha uhai wake.
umevurugwa
 
Jamaa wewe lijinga sana tena huna akili kabisa. Wasukuma hawana ukabila kabisa. Nenda Mwanza au Shinyanga au Tabora utakuta madiwani wachaga etc, wafanyabiashara wamakonde etc. Hii dhana yenu ya kijinga huwa mnaitoa wapi? Ukome choko mkubwa
Ukabila kwa wasukuma upo bna.Mimi niko mwanza huu mwaka wa 13.Labda uzingumzie mwanza nyingine isiyopatikana tz
 
Ni dhahiri JPM alikua Shuja wa kanda ya ziwa.
Ni dhahiri katika utawala wake kanda ya ziwa mlifaidi, wapo ambao mlipitisha mafuta bila kulipa kodi, mkanunua magari na kupiga ela.
Mpo mliotumia ukabila kupata tenda nono za ujenzi, MSD na nguzo za umeme nchi nzima
Mpo mliotengeneza kikundi cha kikabila na agenda zenu za kuweka watu wenu kila idara na kuua biashara za watu ilI mfanye nyie mkawalipa akina musiba kuwatukana watu kwa kujifanya mnakipigania chama kumbe nyuma ya pazia mnalamba asali
Tunajua kuwa mlifaidi kwa uwepo wake

Jambo la msingi mnatakiwa kujua kuwa JPM alichaguliwa na watanzania kama alipotoka kwa kuwapendelea tumemsamehe na tunamkumbuka kwa kazi zake

Sisi wazalendo hatutaki vurugu mnazoleta kwenye nchi hii.
Raisi wetu wa sasa ni Dr. Samia Suluhu Hassan. Kama hamumtaki subirini amalize muda wake

Nchi hii inakanda nyingi na Tanzania sio kanda ya ziwa pekoe
Over
mjinga saana ww

nchiii inawazarau saana wasukuma kwasababu yaupole naukalimu wao wanaonekana wajinga ila naamini IPO siku wakiamuka nakujiunga nchiii haitakuwa salama mwenye akili ataelewa

na Sasa underground movement zitaanza kuhamasisha umoja wajimii wyakisukuma kujiokoa namanyanyaso wanayofanyiwa ktk nchii hiii

MUNGU awape akili nakusema lugha moja
 
Kwaio unatak kusema kwakua kanda ya ziwa walifaidi na zanzibar wanafaidi sio, ama kabla ya magu Kwaio watu wa kanda ya msoga walifaidi pia?

#ThreadZingineBana
 
Enzi za mwendazake mlikua ni kusifu na kuabudu
Pole, unajichanganya sana, wakati Jembe Jiwe Magufuli anaongeza asilimia za kulipa HESLB kutoka 8% hadi 15% watu wa kanda ya Ziwa aliwapunguzia kutoka 8% hadi 3% au sio?? Wakati anazuia ongezeko la mshahara watu wa kanda ya ziwa aliwaongezea au sio?? Tumia akili, fikira za kikabila hazina manufaa yoyote isipokuwa kwenye matambiko ya mizimu
 
mjinga saana ww

nchiii inawazarau saana wasukuma kwasababu yaupole naukalimu wao wanaonekana wajinga ila naamini IPO siku wakiamuka nakujiunga nchiii haitakuwa salama mwenye akili ataelewa

na Sasa underground movement zitaanza kuhamasisha umoja wajimii wyakisukuma kujiokoa namanyanyaso wanayofanyiwa ktk nchii hiii

MUNGU awape akili nakusema lugha moja
Ninachokisema ni kweli enzi za jiwe mligeuza hii nchi Mali yenu

Tunawakumbusha hii nchi ni ya watanzania sio wasukuma
 
Kwaio unatak kusema kwakua kanda ya ziwa walifaidi na zanzibar wanafaidi sio, ama kabla ya magu Kwaio watu wa kanda ya msoga walifaidi pia?

#ThreadZingineBana
Mama kaleta usawa
Hata huku mtwara tunaona maendeleo
Hivyo msichukulie kama kila kitu mlipaswa kupewa ninyi
 
Ni dhahiri JPM alikua Shuja wa kanda ya ziwa.
Ni dhahiri katika utawala wake kanda ya ziwa mlifaidi, wapo ambao mlipitisha mafuta bila kulipa kodi, mkanunua magari na kupiga ela.
Mpo mliotumia ukabila kupata tenda nono za ujenzi, MSD na nguzo za umeme nchi nzima
Mpo mliotengeneza kikundi cha kikabila na agenda zenu za kuweka watu wenu kila idara na kuua biashara za watu ilI mfanye nyie mkawalipa akina musiba kuwatukana watu kwa kujifanya mnakipigania chama kumbe nyuma ya pazia mnalamba asali
Tunajua kuwa mlifaidi kwa uwepo wake

Jambo la msingi mnatakiwa kujua kuwa JPM alichaguliwa na watanzania kama alipotoka kwa kuwapendelea tumemsamehe na tunamkumbuka kwa kazi zake

Sisi wazalendo hatutaki vurugu mnazoleta kwenye nchi hii.
Raisi wetu wa sasa ni Dr. Samia Suluhu Hassan. Kama hamumtaki subirini amalize muda wake

Nchi hii inakanda nyingi na Tanzania sio kanda ya ziwa pekoe
Over
Labda kanda ya Chato
 
Back
Top Bottom