Kanda ya ziwa, msichukulie kifo cha Magufuli kama jambo la ukanda

umevurugwa
 
Jamaa wewe lijinga sana tena huna akili kabisa. Wasukuma hawana ukabila kabisa. Nenda Mwanza au Shinyanga au Tabora utakuta madiwani wachaga etc, wafanyabiashara wamakonde etc. Hii dhana yenu ya kijinga huwa mnaitoa wapi? Ukome choko mkubwa
Ukabila kwa wasukuma upo bna.Mimi niko mwanza huu mwaka wa 13.Labda uzingumzie mwanza nyingine isiyopatikana tz
 
mjinga saana ww

nchiii inawazarau saana wasukuma kwasababu yaupole naukalimu wao wanaonekana wajinga ila naamini IPO siku wakiamuka nakujiunga nchiii haitakuwa salama mwenye akili ataelewa

na Sasa underground movement zitaanza kuhamasisha umoja wajimii wyakisukuma kujiokoa namanyanyaso wanayofanyiwa ktk nchii hiii

MUNGU awape akili nakusema lugha moja
 
Kwaio unatak kusema kwakua kanda ya ziwa walifaidi na zanzibar wanafaidi sio, ama kabla ya magu Kwaio watu wa kanda ya msoga walifaidi pia?





#ThreadZingineBana
 
Enzi za mwendazake mlikua ni kusifu na kuabudu
Pole, unajichanganya sana, wakati Jembe Jiwe Magufuli anaongeza asilimia za kulipa HESLB kutoka 8% hadi 15% watu wa kanda ya Ziwa aliwapunguzia kutoka 8% hadi 3% au sio?? Wakati anazuia ongezeko la mshahara watu wa kanda ya ziwa aliwaongezea au sio?? Tumia akili, fikira za kikabila hazina manufaa yoyote isipokuwa kwenye matambiko ya mizimu
 
Ninachokisema ni kweli enzi za jiwe mligeuza hii nchi Mali yenu

Tunawakumbusha hii nchi ni ya watanzania sio wasukuma
 
Kwaio unatak kusema kwakua kanda ya ziwa walifaidi na zanzibar wanafaidi sio, ama kabla ya magu Kwaio watu wa kanda ya msoga walifaidi pia?





#ThreadZingineBana
Mama kaleta usawa
Hata huku mtwara tunaona maendeleo
Hivyo msichukulie kama kila kitu mlipaswa kupewa ninyi
 
Labda kanda ya Chato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…