Kandarasi wa Mkoa wa Tabora aliyefanya ubadhilifu wa zaidi ya 100ml afumaniwa na Mkuu wa Mkoa Mh Paulo Chacha

Kandarasi wa Mkoa wa Tabora aliyefanya ubadhilifu wa zaidi ya 100ml afumaniwa na Mkuu wa Mkoa Mh Paulo Chacha

Pakome

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2024
Posts
1,651
Reaction score
1,129
Kandarasi wa Mkoa wa Tabora aliyefanya ubadhilifu wa zaidi ya 100ml akumbwa na kadhia kubwa ya aibu na adhabu kali baada ya kushtukizwa na mamlaka za ukaguzi wa miradi nakupelekea kupewa adhabu kali na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh Paulo Chacha kwa makosa ya ubadhilifu wa fedha za mradi wa soko

 

Attachments

  • 1000159297.mp4
    32 MB
Kandarasi wa Mkoa wa Tabora aliyefanya ubadhilifu wa zaidi ya 100ml akumbwa na kadhia kubwa ya aibu na adhabu kali baada ya kufumaniwa na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh Paulo Chacha

Tujifunze Kiswahili sahihi! Mwandishi unajua maana ya 'kufumaniwa'?
Yaani hapo yeyote anayejua lugha, atapata taswira ya mkuu wa mkoa na mkandarasi wamekutwa wakiwa wanashiriki ngono!
 
Bongo sanaa sana kampuni za kujenga mnawapa wenyewe kwa vigezo vyenu harafu mnaanza mbio za kutaka kujua walipofikia huko Daslm wamepewa miezi miwili wawe wamemaliza mkataba wao nimeona tatizo lipo kwenye ugawaji wa hizo tenda ndio maana matamko hayaishi...
 
Ilikuwa na maana ya kukamatwa, nadhani kufumaniwa imeleta mkanganyiko kidogo lakini nitarekebisha
Sawa ndugu mwandishi, siku nyingine uwe makini na matumizi ya lugha unaweza kuleta madhara makubwa ndani ya taifa.
 
Tutolee upumbavu
Mmeona hiyo 100M
Hizo ma Bilion Na magari ya kifahari hamuoni.
Kwanza Tuna Yetu muhimu
 
Back
Top Bottom