rushanju
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 3,238
- 5,106
Naona ni fasheni mpya sasa vitasa kwa kwenda mbele
1.Wassira-(wahasira)
2.Ndugai-(ndugu why/ndugu ai wewe)
3.kangi lugola-(kaanga ugolo)
4....?
4. Kamani na Dr. Chegeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona ni fasheni mpya sasa vitasa kwa kwenda mbele
1.Wassira-(wahasira)
2.Ndugai-(ndugu why/ndugu ai wewe)
3.kangi lugola-(kaanga ugolo)
4....?
....tumechoka sasa.enhee mana hamna namna tena (kwa sauti ya mizengo pinda)
Ni mgombea mwenzie CCM ambaye alipata taarifa kwamba anamchafua ndipo bwana Kangi akaamua kumuwinda na kumshushia vitasa vya kutosha.
Mwaka huu tutaona mengi!
Hii sasa imekuwa kawaida ndani ya chama pendwa. Maana Naibu Spika na yeye leo kaua mgombea mwenzake.
Kazi ndo inaanza.
Mbonahata Dodoma wanapigana. Nafikiri ni tabia ya wanasiasa katika kundi hilo!Yani hawa watu wa mara ni shida
Yani hawa watu wa mara ni shida