Kangi Lugola: Diamond hana nidhamu aliwahi kuchelewa jukwaani

Kangi huenda Ni Waziri Mkuu mtarajiwa maana Hata Mkutano wa kujadili Masuala ya KusafirUsha Watalii huko Arusha Mh. Mrisho Gambo kamualika Huyu Ninja badala ya Waziri wa Utalii Au wa masuala ya uchukuzi!

Kangi kafunika ghafla Sana Umaarufu wa Paul Makonda
 
Yaani soon tutaona wamachinga wanatembeza makoti ya Kangi Lugola, we subiri Mchina ashtukie dili tu
 
Nasubiri baba nanihii aniijie na hilo koti nyumbani sitoongea kitu, kesho atalikuta jikoni naipulia sufuria sipendagi ushabiki wa kuchefuana Mimi.
 
Back
Top Bottom