Uchaguzi 2020 Kangi Lugola: Nina makosa gani hadi nisigombee Ubunge?

mkiluvya

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2019
Posts
809
Reaction score
729

"Wananchi wangu wa Mwibara wameniamini sana, huu ni mwaka wa 10 nawatumikia, wako wahuni wachache ambao wanapita kujaribu kuonyesha kuwa miaka 10 inanitosha niondoke, nimekosa nini? Hadi niondoke? Nimewaambia sina makosa.
.
"Sasa wale wahuni wanasema niondolewe, sina makosa, nitagombea ubunge mwaka huu" Kangi Lugola, Mbunge wa jimbo la Mwibara.
 
Kumekucha
Kumekucha
Naona Sasa Mpaka Ufie Kwenye Harakati
Changamoto Kwa Vijana
Jitokezeni Mzee Aangushwe
 
Atwambie ni kwanini mh rais alimwambia kuwa hata hakutakiwa kuudhuria kikao chake pale siku amemtimua kazi
 
Atwambie ni kwanini mh rais alimwambia kuwa hata hakutakiwa kuudhuria kikao chake pale siku amemtimua kazi
Ila hakumuambia asihudhurie bungeni Wala asigombee tena
 

 
Vipi yule muuza magazeti ya kufungia vitumbua msemaji wa lumumba nae si analitaka Hilo Jimbo ili aje awe waziri wa Mambo ya ndani ili awashughulikie wapinzani,itakuwaje Sasa.
 
Cheki mdomo wake ulivyo , utafikiri unapuliza moto wa kuchomea mahindi shambani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…