Uchaguzi 2020 Kangi Lugola: Nina makosa gani hadi nisigombee Ubunge?

Huyu si ndo aliesema kuna mtu amekutana nae kafanana na Yesu au nnamfananisha, ntashangaa sana kama watu wa mwibara kwa kufuru hii watampa tena
 
Maagi Malaga

Anaenda kumumaliza huyu

Angetulia tu ale kiinua mgongo chake!
 
Kangi na musiba Ni mizigo wote hawafai kuwepo bungeni
Uwezo wa kufikiri wa musiba Ni mdogo Sana Nina wasiwasi na shule yake.
Lugola nae yaleyale anasifia mpaka wasikilizaji tunaona aibu.
 
Kwani msamaha wake ulishapita, au amedandia ule wa bwana adwegenye..
 
Musiba amesema anamchomoa Lugola hapo Mwibara na tayari nimeona ameenda kutoa rushwa kwa wenyeviti wa kijiji
 
Ndani ya CCM wenye njaa kali na nuksi ni hawa wawili... huyu na yule Mzee asiye na jimbo hadi sasa...Ukonga hawataki Tarime pia wamesema hawataki kumwona sura yake inayotisha watoto ..nuksi!!
 
Miaka kumi inatosha. Kaa pembeni,
 
Yaani unasema huna makosa wakati Mkuu alikutumbua kwa kuto kuwajibika, ina maana umeonewa?.
 

Atengue Kauli yake upesi hasa ya Kutudhihaki Sisi Wahuni kama ambavyo ametuita hapa vinginevyo kwa Uhuni Wetu Ubunge wake ataukosa pia.
 
Pengina kwa mchango wake aliochangia bungeni kwa mara ya mwisho waweza kumrudisha bungeni. Anajua kucheza karata vuzuri sana. Mi nimemsifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…