Kangi Lugola: Rais Magufuli namfananisha na Yesu tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayelewa Chako ni Chako

Kulinganishwa tu umekuja hadi kumsema huku basi mseme na huyu alieuvaa uhusika wake!


Kazi kulalama utafikiri hata huyo yesu unamjua ati kufuru! Utakuwa unawaza kutumia kiwiko wewe si bure maana unaumia kwa vitu vya ajabu!!.. Kama anakufuliwa si ajitetee mwenyewe..
 
Shida ipo wapi sasa, mbona bibilia inatufananisha sisi na Mungu inaposema "Mungu katuumba kwa mfano wake" kwa maana hata Konki Liqwidiii anafanana na alie juuuuu mawinguni [emoji1787]
 
Wote wapo kwenye makosa. Ila kosa la Wakristo kusema UTATU na kusema YESU ni Mungu au mwana wa Mungu ni kosa kubwa sana kuliko hilo la huyo aliye mfananisha na binadamu.
Protocol zako kwenye dini zina mipaka kwenye imani ya mtu mwingine, jua hilo.

Huwezi kutumia sheria zako za kiimani kukashifu imani ya wengine huku ukijua wazi kua misingi yao inawaruhusu wao kufanya hilo jambo ambalo we unaona haliko sawa.
 
Mkiambiwa ukweli hamna la kusema mnabaki kulialia tu .hakuna kama jpm
 
Protocol zako kwenye dini zina mipaka kwenye imani ya mtu mwingine, jua hilo.
Siyo kweli, dini siyo maoni ya mtu binafsi kijana, dini ni njia ya kukupeleka katika hatima na maisha baada ya kifo, dini ni ukweli maridhawa, hakuna kweli mbili kijana, lingine unatakiwa ujue tunajadili nini ?
Huwezi kutumia sheria zako za kiimani kukashifu imani ya wengine huku ukijua wazi kua misingi yao inawaruhusu wao kufanya hilo jambo ambalo we unaona haliko sawa.
Hakuna msingihuo, na wenye imani hiyo hawana misingi, labda kama hujui maana ya misingi au msingi kwa umoja. Nakupa kazi weka msingi wa imani hiyo unaruhusu USHIRIKINA huku wenyewe wanaishi katila USHIRIKINA.

AKILI inakataa hili.
 
Kangi amewehuka. Anadhani kwa kusema hayo JPM atamsamehe kilichomfanya afukuzwe uwaziri.
 
Wote wapo kwenye makosa. Ila kosa la Wakristo kusema UTATU na kusema YESU ni Mungu au mwana wa Mungu ni kosa kubwa sana kuliko hilo la huyo aliye mfananisha na binadamu.
Hata anayeabudu ng'ombe unatakiwa uheshimu imani yake as long as havunji sheria za nchi.

Unaamini Mwizi,Jambazi,Muuaji asiyeamini Yesu ni Mungu na UTATU ataingia peponi na yule mtenda mema anayeamini Yesu ni Mungu na UTATU ataingia motoni simpo tu?!

Kuliko kujitia umeshuka toka mbinguni unajua kinachoendelea kule kwamba imani fulani ni sahihi na imani fulani sio sahihi ni kheri ukafocus kwenye kutenda matendo ya kumpendeza Mungu unayemuamini. Ila kama unaamini kule Mbinguni utaulizwa we Muislam, Mkristo, Muhindu au Budha sina comment nyingine.

NB : Kuamini Wakristo Wote wanaamini UTATU ni ujinga mwingine.
 
Wameshajua weakness ya Jiwe na wanagonga hapo hapo. Nyerere usingeliweza kusema rubbish kama hizo!
 
Hatabiriki, anajua yeye mwenyewe anavyocheza karata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…