Kangi Lugola: Rais Magufuli namfananisha na Yesu tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayelewa Chako ni Chako

Mungu, Yesu! Imebakia roho mtakatifu tu! Ili upatikane ule utatu mtakatifu kabisa!🤦🏾‍♂️Haya, kanyaga twende!😀
Nguruvi3
 
Tahira Sana Hilo zee.
Jitu zima akili zipo m@kalioni, unafananisha utopolo na massih?
 
Ingekuwa sawa angesema Magufuri ni kama bar-yesu maana huyo Yesu mnazareti hakuwahi kuwa na mke ama watoto, Magufuri ana watoto na madem kibao iweje afananishwe na Yesu mnazareti!?

Damn mzee wa uno!!
 
Yesu Ni jina kubwa hafananishwi na kiumbe chochote


 
Kange Lugola amesamehews kwenda Jela jameni Mnadhani akae kimya tu kweli??
 
Magu aliwahi kusema wkt yeye ni Mwl. aliwahi kumfundisha Kangi huko shuleni.

Kwa hio Kangi ni mwanafunzi wa 'Yesu' kama wakina Petro.
Duh! mbona kangi ni mzee au kangi alirudia sana shule
 
Kangi lugola unamkosea Sana Rais wetu kwa kumfananisha ya yesu kristo..
Punguza njaa Ewe kangi..
 
Taifa la wajinga na mang'ombe
 
Taifa la wajinga na mang'ombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…