Kangi Lugola: Watuhumiwa kufia mikononi mwa polisi ni Mitego ya kifo. Kwani wanaokufa wakifanya mapenzi mnachoma Kitanda?

Ninja ninja ninja ninja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nchi ya mwendo kasi viongozi mwendo kasi majibu ya mwendo kasi
 

Pale unapoamua kutumia MASABURI kujibu swali la msingi
 
Hivi jamani ile sakata la mwanamke aliyejifungulia kituo cha polisi huko morogoro liliishia wapi ?, nakumbuka Polisi ilisema wanafanya upelelezi,sasa naona kimya tu
 
Kasema uongo? Hakuna mbunge aliyefia mjengoni? Hujaona watu wanafia bafuni au chooni? Je wanaofia kwenye gari wakisafiri? Hujaona wanaofia bar wakipiga urabu? Wanaofia kwenye vifua vya wanawake hujawaona?
Ntamaholo, usitetee huyu waziri wenu bichwa kubwa lililosheheni tope za kijani ?, wewe madudu yote anayofanya hauoni kwamba huyo ni zwazwa ?.
 
Nkanini, umeongea points
 
Mi nadhani sio wakati wa kujificha,kwa aliyekufa akifanya mapenzi,kama kiongozi anatakiwa kujua kwamba ana dhamana ya maisha ya watu wake,,kitendo cha mtu kuteswa mpaka kufa ni ukatili na uvunjifu wa haki za raia,kama kiongozi alitakiwa kuhakikisha swala hilo linakoma na sio kutafuta kichaka cha kufichia huo uovu
 
Huyu Waziri ni shida, kuna siku moja alisema kwamba watz wasipende kuilaumu serikali kwa kila tukio la kupotea kwa raia hapa nchini, Eti, wengine maisha yanapowashinda huwa kuondoka majumbani mwao na kuenda kusikojulikana (kujipoteza), Sisi tunaowalilia ni akina Azori.
 
"A person may die at a Police station while having sex" hapo sijaelewa ufafanuz kdg kwa aliyeelewa iyo statement
 
***** tz kazi tunayo, hii safari sizani kama tutafika
 
HIVI HAO MAPOLISI SIO WATANZANIA ?KAMA NI WATANZANIA WENZETU BASI KOSA SIO SERIKALI NI SISI WATANZANIA.
 
Mimi binafsi naunga mkono wananchi kuchoma moto kituo cha polisi kwani ndio njia pekee ya kuonyesha hasira dhidi ya jeshi hilo la maccm, mtakumbuka siku chache zilizopita kule mkoani mara askari polisi alimuua kwa kumchoma kisu kijana mmoja raia ambaye hakuwa hata na silaha, kisha tukasikia polisi wanafanya upelelezi, sijui walikuwa wanapeleleza nini !!, na mpaka sasa kimya, hakuna hatua yeyote iliochukuliwa.
 
Natamani Mwalimu NYERERE Afufuke aje asikie kauli za viongozi wetu sidhani kama hata nafasi ya kugombea tena wanaweza ktpata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…