Hatuwezi kuzuia watu wasife kwasababu death is a natural call from heaven, but tunachopinga ni sababu ya hicho kifo. Kwa mfano umempiga risasi mtu asie na hatia yoyote akafa, umemtia mtu ngumi katika muktadha usio rasmi akafa, umemtesa mtu mpaka kafa, umemuua mtu kwa sumu halafu watu wakuangalie tuu eti kwakua kifo ni mtego.
Hii si sawa hata kidogo, vinginevyo walioko magerezani kwa kosa la kuua waachiliwe ikiwa waziri mwenye dhamana anaamini kwamba kifo ni mtego hivyo hatupashwi kumhukumu aliesababisha kutokea kwa hicho kifo.