Kaniahidi upendo anafunga ndoa leo

Kaniahidi upendo anafunga ndoa leo

Mankaa

Senior Member
Joined
Jan 21, 2012
Posts
156
Reaction score
49
Naombeni ushauri wenu..alikuwa b.friend wangu kwa miaka 2 iliyopita kutokana na kale katabia nilikowaelezeni,siku za nyuma nikamwambia kama anataka kuoa atafute mke me bado nipo nipo..muda si mreuf akanambia amepata ataka kuoa na hivi leo wanafunga ndoa jana usiku jamaa kanipigia akanambia leo anafunga ndoa lakini hawezi kuniacha kamwe..hapa nilipo roho inaniuma sijui ni nini jamaa bado tunapendana sana na mapenzi yetu yapo pale pale kanipromise akitoka honeymoon atakuja nitembelea huku niliko kwa siku mbili

Nahisi sina amani wapendwa nipeni busara zenu
 
Na moto wa jehanamu ukuchome uchomeke kabisa............yaani ushaanza kupanga mashambulizi kwa ndo ya mwenzako, tafuta ya kwako!
 
Alikuwa hakupendi, angekupenda si angekusubiri wewe?hapo amekufanya chombo cha starehe tu,
 
Na moto wa jehanamu ukuchome uchomeke kabisa............yaani ushaanza kupanga mashambulizi kwa ndo ya mwenzako, tafuta ya kwako!
Jamaa ndiye ananifil jaman ananiimba nusimuach in gal ndo hvyo anaoa leo me cna kosa lolote
 
Naomben ushauri wenu..alikuwa b.frind wangu kwa miaka 2 iliyopita ktkn na kale katabia nlikowaekezen,cku za nyuma nkamwambia km anataka kuoa atafute mke me bdo nipo nipo..mda c mref akanambia amepata ataka kuoa na hivi leo wanafunga ndoa jana usiku jamaa kanpigia akanambia leo anafunga ndoa lkn hawez kuniacha kamwe..hapa nlipo roho inaniuma cjui ni nin jamaa bdo tunapendana cna na mapenz yetu ypo pale pale knipromic akitoka honymoon atakuja ntembelea huku nliko kwa cku mbili

Nahis sina amani wapendwa nipeni busara zenu

badili jina utaolewa sooon
hayo majina inawezekana aliogopa kuwekewa sumu na mwisho mali zake zote kumilikishwa na ukoo wenu anyway sorry kama sijakosea ila umenielewa nawapenda wotee wakina mankaaa,,shoseee,,laikini speed zenu za kuokoa na kutupoiga ngumi kama tuko uwanja wa taifa ndio kinatufanya tukimbie anyway usilale nae tena atakuwa mke wa mtu na wewe utakuwa kama hawara
 
Na moto wa jehanamu ukuchome uchomeke kabisa............yaani ushaanza kupanga mashambulizi kwa ndo ya mwenzako, tafuta ya kwako!

aisee hiyo kabila wala awaelewi kama uliwaahaiiidi basi ata uoe miaa wanaaamini ipo siku utawaoa tena
 
Unapenda Kuazima Jamvi Wewe, acha ufisadi tafuta chako.
 
Ulimpa ushauri kaufuata sasa kinachokuuma nini?
 
Naomben ushauri wenu..alikuwa b.frind wangu kwa miaka 2 iliyopita ktkn na kale katabia nlikowaekezen,cku za nyuma nkamwambia km anataka kuoa atafute mke me bdo nipo nipo..mda c mref akanambia amepata ataka kuoa na hivi leo wanafunga ndoa jana usiku jamaa kanpigia akanambia leo anafunga ndoa lkn hawez kuniacha kamwe..hapa nlipo roho inaniuma cjui ni nin jamaa bdo tunapendana cna na mapenz yetu ypo pale pale knipromic akitoka honymoon atakuja ntembelea huku nliko kwa cku mbili

Nahis sina amani wapendwa nipeni busara zenu
sina ushauri wowote wa kukupatia zaidi ya kukupa pole.btw inaonekana umetokea fb maana hata kiswahili chako kinaonyesha hivyo.next time tuandikie kiswahili kizuri cha kueleweka na sio kile cha fb kwa mfano sasa huandikwa xaxa.
 
aisee hiyo kabila wala awaelewi kama uliwaahaiiidi basi ata uoe miaa wanaaamini ipo siku utawaoa tena
Kabila gan hilo tena..me sihitaj kuolewa nae cz nlishakataa nafikiria mapenz aliyonayo kwangu in hali akiwa kwenye ndoa ndo cjui nifanyeje na cna amani
 
Mapenzi gani na mume wa mtu manka bana
ndio haapo nasema kunakabila awajui kuacha ata uoe mara mia kama uliwahaidi na mkiwa kwenye sita kwa saba ni ngumu sana kumuwachia mwenzio aelndelee
 
Naomben ushauri wenu..alikuwa b.frind wangu kwa miaka 2 iliyopita ktkn na kale katabia nlikowaekezen,cku za nyuma nkamwambia km anataka kuoa atafute mke me bdo nipo nipo..mda c mref akanambia amepata ataka kuoa na hivi leo wanafunga ndoa jana usiku jamaa kanpigia akanambia leo anafunga ndoa lkn hawez kuniacha kamwe..hapa nlipo roho inaniuma cjui ni nin jamaa bdo tunapendana cna na mapenz yetu ypo pale pale knipromic akitoka honymoon atakuja ntembelea huku nliko kwa cku mbili

Nahis sina amani wapendwa nipeni busara zenu

kapata kitu mnato kama supa glue ....we wa nini sasa...kwanza hilo jina nalo linachangia sana kuchelewa kuolewa we hujui tu..jiite jacky au monica au sheila uone kama vigeregere havijarindima asa ivi
 
Kabila gan hilo tena..me sihitaj kuolewa nae cz nlishakataa nafikiria mapenz aliyonayo kwangu in hali akiwa kwenye ndoa ndo cjui nifanyeje na cna amani

jibu la haya yote ni kuwa huko tayari kushare.......huwezi kukosa amani kama humfeel mtu bana!
 
huyu jamaa bado ananipenda na me pia nampenda sas mapenzi yetu si yanaweza athir ndoa yake?
angekupenda si angekuchezea ama kwenu ndio dili kula na waume za watu
unajua let me tell you my sweet jf babies
kuna kalaana fulani kwenye baadhi ya makabila sio sio hili tu hata lenu unakuta mama nae aliolewa lakini kutokana na kale kalaana akawa anaendelea kutembea na mume wa mtu na mtoto nae anafwata na hata ukizaa mtoto nae anafwata so hapa hata mumshauri aisaidiii aendee akavunje zile laana za ukoo wao kwanza ndio maana anaendeleaa kujitetea kama yuko icc wakati ameshaoa huyo aliemdanganya anampenda...wee kamuulize kwanza mama mzazi ama baba yetu je kumpenda mume wa mtu ni dhambi akikwambia ndio basi endeleea nae maana ni yale yale nilioongea hapo juu
 
Back
Top Bottom