Naombeni ushauri wenu..alikuwa b.friend wangu kwa miaka 2 iliyopita kutokana na kale katabia nilikowaelezeni,siku za nyuma nikamwambia kama anataka kuoa atafute mke me bado nipo nipo..muda si mreuf akanambia amepata ataka kuoa na hivi leo wanafunga ndoa jana usiku jamaa kanipigia akanambia leo anafunga ndoa lakini hawezi kuniacha kamwe..hapa nilipo roho inaniuma sijui ni nini jamaa bado tunapendana sana na mapenzi yetu yapo pale pale kanipromise akitoka honeymoon atakuja nitembelea huku niliko kwa siku mbili
Nahisi sina amani wapendwa nipeni busara zenu
Nahisi sina amani wapendwa nipeni busara zenu