Hapana ciumii cz anaoa bt nafill vby na hali hii imentokea leo tuuPole sana, imekula kwako move on.
Ulibipu mwenzako kakupigia
Jamaa ndiye ananifil jaman ananiimba nusimuach in gal ndo hvyo anaoa leo me cna kosa loloteNa moto wa jehanamu ukuchome uchomeke kabisa............yaani ushaanza kupanga mashambulizi kwa ndo ya mwenzako, tafuta ya kwako!
Alikuwa hakupendi, angekupenda si angekusubiri wewe?hapo amekufanya chombo cha starehe tu,
Naomben ushauri wenu..alikuwa b.frind wangu kwa miaka 2 iliyopita ktkn na kale katabia nlikowaekezen,cku za nyuma nkamwambia km anataka kuoa atafute mke me bdo nipo nipo..mda c mref akanambia amepata ataka kuoa na hivi leo wanafunga ndoa jana usiku jamaa kanpigia akanambia leo anafunga ndoa lkn hawez kuniacha kamwe..hapa nlipo roho inaniuma cjui ni nin jamaa bdo tunapendana cna na mapenz yetu ypo pale pale knipromic akitoka honymoon atakuja ntembelea huku nliko kwa cku mbili
Nahis sina amani wapendwa nipeni busara zenu
Na moto wa jehanamu ukuchome uchomeke kabisa............yaani ushaanza kupanga mashambulizi kwa ndo ya mwenzako, tafuta ya kwako!
sina ushauri wowote wa kukupatia zaidi ya kukupa pole.btw inaonekana umetokea fb maana hata kiswahili chako kinaonyesha hivyo.next time tuandikie kiswahili kizuri cha kueleweka na sio kile cha fb kwa mfano sasa huandikwa xaxa.Naomben ushauri wenu..alikuwa b.frind wangu kwa miaka 2 iliyopita ktkn na kale katabia nlikowaekezen,cku za nyuma nkamwambia km anataka kuoa atafute mke me bdo nipo nipo..mda c mref akanambia amepata ataka kuoa na hivi leo wanafunga ndoa jana usiku jamaa kanpigia akanambia leo anafunga ndoa lkn hawez kuniacha kamwe..hapa nlipo roho inaniuma cjui ni nin jamaa bdo tunapendana cna na mapenz yetu ypo pale pale knipromic akitoka honymoon atakuja ntembelea huku nliko kwa cku mbili
Nahis sina amani wapendwa nipeni busara zenu
Kabila gan hilo tena..me sihitaj kuolewa nae cz nlishakataa nafikiria mapenz aliyonayo kwangu in hali akiwa kwenye ndoa ndo cjui nifanyeje na cna amaniaisee hiyo kabila wala awaelewi kama uliwaahaiiidi basi ata uoe miaa wanaaamini ipo siku utawaoa tena
Ulimpa ushauri kaufuata sasa kinachokuuma nini?
Naomben ushauri wenu..alikuwa b.frind wangu kwa miaka 2 iliyopita ktkn na kale katabia nlikowaekezen,cku za nyuma nkamwambia km anataka kuoa atafute mke me bdo nipo nipo..mda c mref akanambia amepata ataka kuoa na hivi leo wanafunga ndoa jana usiku jamaa kanpigia akanambia leo anafunga ndoa lkn hawez kuniacha kamwe..hapa nlipo roho inaniuma cjui ni nin jamaa bdo tunapendana cna na mapenz yetu ypo pale pale knipromic akitoka honymoon atakuja ntembelea huku nliko kwa cku mbili
Nahis sina amani wapendwa nipeni busara zenu
Kabila gan hilo tena..me sihitaj kuolewa nae cz nlishakataa nafikiria mapenz aliyonayo kwangu in hali akiwa kwenye ndoa ndo cjui nifanyeje na cna amani
angekupenda si angekuchezea ama kwenu ndio dili kula na waume za watuhuyu jamaa bado ananipenda na me pia nampenda sas mapenzi yetu si yanaweza athir ndoa yake?