Kaniambia akiipata kazi mume wake atapiga deki ndani!

Kama anafanya visasi sio poa, ila kupiga deki ndani mwanaume unapiga tu, sio hadi mkeo apate kazi.

Au mume kudeki ndani ni jambo baya sana?
Sio jambo baya lakini huyu mwanamke katumia hicho kitendo kama dhihaka kwa mumewe
 
Mmh, kwani wewe ulioa ili tu mkeo apige deki, ndio lengo kuu la kuoa?

Mimi sio tu deki, hata kupika huwa napika, vipi nimeshikwa masikio?
Lengo la kuoa ni mwanamke afanye kazi za nyumbani km usafi na haruhusiwi kufanya kazi yoyote ya kumuingizia kipato.
Kazi ya mwanamke ni kulea familia hapo nyumbani.
Nioe halafu nipige deki? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Acha utani kijana
 
Mkuu nina dogo yupo tu kama hutajali naomba msaada unisaidie
 
Umeoa na bado unapiga deki. Sasa ulioa ili ufanye nini? Si bora ubaki single tu
Jukumu la mwanaume ni kutafuta hela tu na hayo mambo ya usafi ni ya mwanamke
Sasa utashangaa hata pesa yenyewe hutafuti
 
Mkuu ungeweka hapa hapa full mawasiliano ni wengi wanataka hiyo 25k per day haina haja ya kuja chemba...
 
Utakua umeshikwa Mapumbu
Huwa napenda sana mke wangu akinishika Mapumbu.

Ni kawaida tu mwanaume siku zingine unaamua kufanya usafi au kupika.

Kudhani kuwa ukishaoa hutakiwi kufanya hivyo ni ushamba fulani.
 
Si bora aseme tutaachana kuliko hivyo
Kwa hiyo miez 2 ikipita?
 
Nimecheka, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kuna jamaa akaamua acomment kabisa ana mdogo wake amuinganishe naaeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…