Wakuu kwema?
Aisee nilikua na Pisi moja hivi nimekaa nayo miaka 4 aisee tokea akiwa form three mpaka alivofika chuo .. alikuja mkoa ninaoishi kwa ajili yangu.
Tatizo lilianzia hapa
Aisee alivoanza chuo mahusiano yalikua fresh kabisa mwaka wa kwanza ukaisha fresh ila mwanzoni mwaka wa pili akaanza kubadilika aisee.. nikawa namcheki tuu akawa hanicheki mpaka mimi ndo ni mcheki aisee... nikaona red flags nikajua atabadilika ikawa akinipigia ni anaomba tuu hela akipata kimya kwa sababu nilikua nampenda ikabdi niwe namtumia ila siku hyo nimeamka na moodiness akanicheki kama kawaida yake ananiomba hela kwanza alituma message ya salamu sikumjibu.. akatuma ya kuomba hela nikamuambia namba ipi? Akaniambia message yangu kwani hujaiona nikamuambia sitaki salmamu za kinafiki mimi maana wewe kila ukinitafuta unaomba hela wee alikasirika hatari... na hela sikutuma
Zikapita siku 2 mimi kimya akanicheki akaniambia ile siku ulinikera sana nikamjibu ndo hvo huo ndo ukweli akaniambia fuata mambo yako nikamjibu ok. Akatuma tena fuata mambo yako nika mjibu ok.. from that day mpaka leo hajawahi kunicheki na mimi hvo hvo sijawahi mcheki.. huu ni mwezi wa 4 penzi likafa Rasmi.
Iam not that cheap aisee alijua kuwa nitamshobokea na kumuomba msamaha.
Na wakati mwingine tukubali tuu ukweli kuwa upendo umeisha tusilazimishe.