Kaniambia fuata mambo yako

Siyo kweli mkuu huu ni mwezi wa 4 so nilisha move on na penzi lilishakufa mda na nilishakubali
Ni kweli mkuu, lakini nasisitiza msahau kabisa hata uzi kama huu umeanzisha sababu kuna kitu umekumbuka, umemove on ila hujamsahau me nikashavunja mahusiono staki kabisa kumkumbuka, wala kuwa na mawasiliano haijalishi tumeachana kwa heri au shari mpaka jina huwa nasahau
 
Aisee aisee aisee wasikie tu hao viumbe. Ulikuwa ATM
 
Bado moyo wako haujamuachia
 
Bora yako kaka Mimi tumezinguana na demu wangu juzi Ila siko vizuri kihisia, japokuwa tulikuwa hatupendani kiivo toka mwanzo. Ila roho inaniuma na hajawai kunichangamkia kivile Yani yupoyupo tu pia anakaushamba flani hivi .
 
Iam not that cheap aisee
Yet you are hurting.

If it's of any solace, just know pesa aliyokuwa anakuomba ilikuwa anampelekea jamaa yake. Wewe ulikuwa mfadhili wa mahusiano yao🤣🤣🤣🤣.

Saa hizi kawekwa miguu juu anachezea mjulus, wewe upo busy kuandika nyuzi JF🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…