Kaniambia huwa anaenda kunyoosha mbavu

We utakuwa mbaya tu either wasura au umbo...wanawake wabaya ndo mabingwa wa kuwajua wanaume wazuri...gudume jike wewe
 
We utakuwa mbaya tu either wasura au umbo...wanawake wabaya ndo mabingwa wa kuwajua wanaume wazuri...gudume jike wewe
Mim kabaya sana ndio maana nataka mwanaume mzuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mimi mbaya nichagua mwanaume mbaya kaaa!!
 
Ila yataka moyo wanawake wenye akili kama zako kuchepuka ni at any time!! Mola tufumbue macho.....ivi baba sabrina yuko wapi?
 
una umri gani?
 
Smart men hawafichi status zao, kama wanahisi wewe umeshashoboka kuwa naye na anataka uwe naye kwa muda huo. Wanaweza kukupa attention yote na hadhi kuliko mpenzi wake ila haidumu.
Kama na wewe huna mzuka naye, ni wakati mzuri wa kuchuna. Usitegemee zaidi baada ya kukuvua au akiona bado hauingii king.
 
Ulitegemea nini kuendelea kumpiga kalenda na yeye yupo serious nawe. Nikwambie tu huyo jamaa anakupenda kikweli ndiyo maana hakufichi, kaamua kuwe mkweli kwako. Sasa kama huna nia naye mweleze mapema ajue, atafute mstakabali mwingine.

Ingekuwa lengo ni kuja kuufuata mwili wako tu wanaume hatushindwi kitu, angekufuata hadi huko ulipo apige ajiondokee zake. Ila kaamua kukusubiri, hebu tafakari kwanza hilo. Wanaume wenye tupo wachache duniani kuliko nyinyi, kumpata anayekupenda ni kazi mno. Jiulize ukimwacha huyo utakuja kumpata kama yeye? Wazuri wapo wengi, vipi atakuwa muwazi kwako au atamaliza hukohuko na kuchuna tena akiuza mechi.
 
Wenzako wanasifia wanaume wenye mipango na malengo ya maisha wewe unasifia sauti, urefu, uhandsome na uzuri.


Hahahaha wewe tayari huna sifa za kuwa Mke wa ME yoyote duniani na mbinguni... Endelea kuwa single "maza"


Utaishia kupigwa mambo mpaka iote Sugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…