Kaniambia huwa anaenda kunyoosha mbavu

Kaniambia huwa anaenda kunyoosha mbavu

We utakuwa mbaya tu either wasura au umbo...wanawake wabaya ndo mabingwa wa kuwajua wanaume wazuri...gudume jike wewe
 
Ila yataka moyo wanawake wenye akili kama zako kuchepuka ni at any time!! Mola tufumbue macho.....ivi baba sabrina yuko wapi?
 
Mmmmmmhhh kuna mkaka huwa nawasiliana nae ,anasoma nchi za watu sasa yupo likizo,huwa ananitafuta sana na sasa ananisisitiza tukaishi wote Dar,mi kiukweli na Dar mbali mbali lile joto linanishinda halaf siwezi kwenda kuishi nae tu ye nani bwana.
Lakin pia sina future nae kiukweli japo ni mwanaume mzuri tu ana sura ya kuwalingishia maadui zangu wa jf marafiki wa mtaani kwetu,kiukweli ni handsome kwa kurusha roho tu anafaa ,ni mrefu huyo halaf mwembamba sio sana lakini ,nikamdanganya kuwa kuna vitu nafanya nikimaliza tu ntakuja Dar tuishi wote akasema poa.
Huwa simtafuti ananitafuta yeye mara nyingi ,kiukweli ana sauti nzuri sana ya mvuto huwa inanibembeleza[emoji6].
Leo nimetoka kwenye mishe zangu town mara huyo kapiga tukaongea weee,nikamuuliza hivi wewe hapo kitaa hawakusumbui wanawake na ulivyo unavutia hivyo akasema kawaida tu,huwa nanyoosha mbavu mara moja moja ,nikamuambia eeeeh akasema ndio maana we upo mbali sasa nikishikwa sana nyege inabidi nikanyooshe mbavu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila sina mahusiano nao akili yangu inakufikiria wewe,,, nacheka kama mazuri lakini ntafanyaje sasa,,nikamuuliza mara ya mwisho lini umenyoosha mbavu akasema juzi kuna dada aliamua tu kunitunuku ni rafiki wa sista angu na nilitumia condom ,maana muda mwingine nazidiwa nawe mpenzi upo mbali,nikawa kama namsikiliza tu akaniuliza umechukia nikamuambia hapana kabisa sijachukia,akaniuliza na wewe mara ya mwisho umefanya lini?nikamuambia nina muda mrefu kidogo akasema ok kwa hiyo nitakuja unitunuku nile[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22].

Ni wangapi wanaweza sema ukweli?ni bora kusema ukweli au kudanganya ,je kanifanyia vyema kuniambia?? ,anataka aishi na mimi kisa hamu zake au?
Mimi kama haupo moyoni siwezi kukuonea wivu,utanisimulia mambo yako yote najua hapa hakuna kitu ,,lakini nikipenda hata watu kumuangalia tu napatwa wivu

Nasisitiza ni mwanaume mzuri ana sauti nzurii,na mimi mwanaume mzuri ni ngumu sana kupindua,yaan huwa nakuwa mdogo kama piliton ndio udhaifu wangu sio kwa wote lakin kuna ladha zangu nazijua mimi haswa akiwa na muscles nikimuona tu nasisimka tu sijui ilikuwaje nikapenda hivyo,sijuii[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]nikipindua ujue nimesali sana na kufunga juu,Ee Mola ninusuru mimi,,kuna sehemu huwa Mungu ananisuru mpaka unashukuru tu kabisa na kufurahi

Nioombeeni Jamani niyashinde majaribu kesho naenda kwenye nini kule kanisani sijui kupakwa majivu,
Nawatakia upendo mwema msipendane tu siku ya valentine View attachment 695233
una umri gani?
 
Smart men hawafichi status zao, kama wanahisi wewe umeshashoboka kuwa naye na anataka uwe naye kwa muda huo. Wanaweza kukupa attention yote na hadhi kuliko mpenzi wake ila haidumu.
Kama na wewe huna mzuka naye, ni wakati mzuri wa kuchuna. Usitegemee zaidi baada ya kukuvua au akiona bado hauingii king.
 
Ulitegemea nini kuendelea kumpiga kalenda na yeye yupo serious nawe. Nikwambie tu huyo jamaa anakupenda kikweli ndiyo maana hakufichi, kaamua kuwe mkweli kwako. Sasa kama huna nia naye mweleze mapema ajue, atafute mstakabali mwingine.

Ingekuwa lengo ni kuja kuufuata mwili wako tu wanaume hatushindwi kitu, angekufuata hadi huko ulipo apige ajiondokee zake. Ila kaamua kukusubiri, hebu tafakari kwanza hilo. Wanaume wenye tupo wachache duniani kuliko nyinyi, kumpata anayekupenda ni kazi mno. Jiulize ukimwacha huyo utakuja kumpata kama yeye? Wazuri wapo wengi, vipi atakuwa muwazi kwako au atamaliza hukohuko na kuchuna tena akiuza mechi.
 
Wenzako wanasifia wanaume wenye mipango na malengo ya maisha wewe unasifia sauti, urefu, uhandsome na uzuri.


Hahahaha wewe tayari huna sifa za kuwa Mke wa ME yoyote duniani na mbinguni... Endelea kuwa single "maza"


Utaishia kupigwa mambo mpaka iote Sugu
 
Back
Top Bottom