Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Notifications ni tatizo toka asubuhiNotification kwangu leo ni janga sijui ni mm tu au ebu ngoja nikuombee
Na hilo joto nifeKuja mjini we dada.
Ni gazeti?mbona kawaida tuUmekopi wapi ili gazeti
Kuja pm haraka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Notifications ni tatizo toka asubuhi
Happy valentine tooSiku zote naamini upo mjini hapa hapa siku moja nikufanyie ambush!..very disappointed!..Happy valentine thou!.
Empty SET, ni Set pia Mkuu...........!!!Huyu nae eti ataolewa..duh Mungu niepushe mbali na aina ya wanawake wenye akili mpakato kama huyu..empty set kabisa
Kuja pm haraka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwani wa mikoani hawana nafasi ya kutamba? jmn jamanHeeeeh mama sabrina kumbe mwanamke wa mkowani
Na kutamba kote uko duuuh
Utavumilia tu kama sisi.Na hilo joto nife
Akaa. Bahili wa nini mimimUnapenda dudu kubwa hapo ndio umefika kwa ze dudu ila bahili
HehehehAkaa. Bahili wa nini mimim
kwa hiyo atamlea na sabrina? akikataa kumlea nipe mm huyo sabrina nimkuze,,Mmmmmmhhh kuna mkaka huwa nawasiliana nae ,anasoma nchi za watu sasa yupo likizo,huwa ananitafuta sana na sasa ananisisitiza tukaishi wote Dar,mi kiukweli na Dar mbali mbali lile joto linanishinda halaf siwezi kwenda kuishi nae tu ye nani bwana.
Lakin pia sina future nae kiukweli japo ni mwanaume mzuri tu ana sura ya kuwalingishia maadui zangu wa jf marafiki wa mtaani kwetu,kiukweli ni handsome kwa kurusha roho tu anafaa ,ni mrefu huyo halaf mwembamba sio sana lakini ,nikamdanganya kuwa kuna vitu nafanya nikimaliza tu ntakuja Dar tuishi wote akasema poa.
Huwa simtafuti ananitafuta yeye mara nyingi ,kiukweli ana sauti nzuri sana ya mvuto huwa inanibembeleza[emoji6].
Leo nimetoka kwenye mishe zangu town mara huyo kapiga tukaongea weee,nikamuuliza hivi wewe hapo kitaa hawakusumbui wanawake na ulivyo unavutia hivyo akasema kawaida tu,huwa nanyoosha mbavu mara moja moja ,nikamuambia eeeeh akasema ndio maana we upo mbali sasa nikishikwa sana nyege inabidi nikanyooshe mbavu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila sina mahusiano nao akili yangu inakufikiria wewe,,, nacheka kama mazuri lakini ntafanyaje sasa,,nikamuuliza mara ya mwisho lini umenyoosha mbavu akasema juzi kuna dada aliamua tu kunitunuku ni rafiki wa sista angu na nilitumia condom ,maana muda mwingine nazidiwa nawe mpenzi upo mbali,nikawa kama namsikiliza tu akaniuliza umechukia nikamuambia hapana kabisa sijachukia,akaniuliza na wewe mara ya mwisho umefanya lini?nikamuambia nina muda mrefu kidogo akasema ok kwa hiyo nitakuja unitunuku nile[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22].
Ni wangapi wanaweza sema ukweli?ni bora kusema ukweli au kudanganya ,je kanifanyia vyema kuniambia?? ,anataka aishi na mimi kisa hamu zake au?
Mimi kama haupo moyoni siwezi kukuonea wivu,utanisimulia mambo yako yote najua hapa hakuna kitu ,,lakini nikipenda hata watu kumuangalia tu napatwa wivu
Nasisitiza ni mwanaume mzuri ana sauti nzurii,na mimi mwanaume mzuri ni ngumu sana kupindua,yaan huwa nakuwa mdogo kama piliton ndio udhaifu wangu sio kwa wote lakin kuna ladha zangu nazijua mimi haswa akiwa na muscles nikimuona tu nasisimka tu sijui ilikuwaje nikapenda hivyo,sijuii[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]nikipindua ujue nimesali sana na kufunga juu,Ee Mola ninusuru mimi,,kuna sehemu huwa Mungu ananisuru mpaka unashukuru tu kabisa na kufurahi
Nioombeeni Jamani niyashinde majaribu kesho naenda kwenye nini kule kanisani sijui kupakwa majivu,
Nawatakia upendo mwema msipendane tu siku ya valentine View attachment 695233