Wala hujakosea ndugu yangu kutongoza hakuna formula wala nini ni kawaida kwa mwanamke kurespond kama alivyofanya kwa sababu umempatia ujumbe bila kumuandaa..anyway kama kasema atatafuta mda wa kuongea na wewe fanya hivi umombe msamaha kwa kitendo hicho kisha mwambie ni mapenzi na hisia juu yako ndio vlivyosababisha kumwambia hayo toka moyoni mwako..sisitiza uampenda sana na akusamehe kwa hilo ila pia umwambie uko tayari kusubiria mbaka pale atakapodhani ni mda mwafaka kwa yeye kuweza kuuteka moyo wake na kukubaliana na hisia zako..ataakuelewa na nadhani atakukubalia bila hata kipingamizi..jaribu wala hujakosea ndugu!!!
Ni rafiki yangu toka o'level, hatujawahi kwaruzana wala kupishana kauli. Kwa kipindi chote nimejitahidi kumuonesha kwa vitendo kwamba namjali na kumpenda. Miaka imepita tukiwa marafiki na nimeweza kumfahamu vizuri kitabia. Hivi majuzi niliamua kuvunja ukimya, na nimwandikia hivi "naomba unielewe ninachotaka kusema, sidhani kama itakuwa busara kwangu kumung'unya maneno, kwa kifupi nakuhitaji uwe mpenzi wangu, sisemi haya kwa bahati mbaya kwani najua nini nafanya na kumaanisha. Kumbuka ni ngumu kuukwepa ukweli, hata nisingesema leo basi ningesema kesho, naomba hekima na busara itawale maamuzi yako".....toka nimemtumia hiyo text kauchuna kimya wakati siyo tabia yake, sifikiri kama nimekosea kumwambia niliyomwambia, lakin nifanyeje ili nimlete katika mud yake ya mwanzo, maana nahisi hata urafik unaweza kwisha. Ushaur wenu wadau unahitajika.

shida kubwa ya midomo zege ndiyo hii. Mtu mnajuana toka o'level then unakuja kumtongoza simu tena text. Lazima afikirie mara mbili maana pengine alitegemea kama ni kumtamkia basi ungetumia ulimi kuliko vidole vyako kwa simu. Akukubalie then uje useme ni demu wa simu, hata ungekuwa wewe usingekubali, lol!
Hata hivyo hakijaharibika kitu, mfuate kwao toka nae sehemu ilotulia then rudia upya mada yako, nna uhakika atakuelewa na utapta jibu zuri toka mdomoni kwake. Next time usirudie, hao viumbe hupenda kusikia maneno toka mdomoni hasa kwa mtu mwenye ukaribu naye kama huo wenu. Mtoto wa kiume jifunze kupuyanga maneno kwa domo lako, sio kutumia misimu. Hiyo misimu ni special kwa vicheche sio kwa mwanamke ambaye una ukaribu naye kama huo wenu.
Inawezekana kuna matatu;
moja tongoza ya maandishi is so over, tena ni dharau kwa mwanamke anayejua nini maana ya kuwa mwanamke, kifupi hajapendezwa na hiyo style. Twende uso kwa uso kuonyesha uanaume wako.
mbili, hajakuvutiwa na wewe, hataki kukuumiza ameamua kukuachia homework.
tatu, anatafakari jibu la kukupa.
Ushauri, omba date umweleze ukweli wako, tena ikibidi mwaga machozi na fwedha.
ningeuchuna kwasababu ningekuwa nafikiria cha kukujibu.
hapo kwenye fweza si naweza nikaharibu kabisa?
Wakuu hakika mmenipa changamoto za kutosha na niwashukuruni sana, nimeongea naye dakika chache zilizopita. Tumepanga tukutane kwa maongezi zaidi, japo amedai nimempa wakati mgumu na anahoji nilikuwa wapi miaka yote.
in red...
mwambie sumu ilikuwa miguuni, sasa imepanda kinywani ndio umemtemea...
Timing, timing.... kila siku tunasema hapa, too early or too late is very bad kumtongoza demu, meaning inategemea na demu mwenyewe, wako wale wa maharage ya mbeya hao hawafai leo leo unakula mzigo sio hao naongelea, nasema mwanamke anayejiheshimu ukimtaka usiwahii sana au kuchelewa sana kumtongoza, sijui niseme vipi kuhusu timing ya kumtongoza na kumpata, mm najua, pia ushapu wa mwanaume, if u gooooo around the bush saaana humpati demu, SO THEIR IS A TIME WHEN U KICK A BALL U SCORE A GOAL, hapa ndio utundu unatakiwa, ndicho nisemacho, hapa demu hachomoi, kwani nitakuwa nimeshamandaa kisaikolojia sometime, kumfurahidha kwa vitu vidogo vidogo, then msupport, feel her, usichukue muuuda hapa, then shooot kumtongoza, kwani mazingira kabla hata ya kumwambia utayaona yamekamilika, then akikubali usichukue muda hata same day kaleeeee mzigo, tunawafundisha daily bana, gday
swali gumu hlo,ila mwanaume hakoc majibu,hata ya papo kwa papo
kwenye fweza,ckushauri!
Acha woga wewe, mtoto wa kiume lazima ujiamini. Umefanya upumbavu kumtumia sms kqa issue muhimu kama hiyo, ulipaswa kutafuta muda wa kutosha umtoe outing ya nguvu mnaenda sehemu tulivu then mnakaa na kuongea vizuri mkiwa mmetulia sehemu isiyo na bughudha then unaongea naye vizuri kwa kujiamini huku ukimtazama usoni.
Ktk hayo maongezi yenu jitahidi sana kumhakikishia juu ya mustakabali wa maisha yake ya baadaye ktk uhusiano wenu, hayo mambo kwao ni muhimu sana.
Kuwa kwake kimya kusikutishe, huenda amepatwa na mshtuko coz haamini kama uko serious ama lah, na pia njia ulotumia ni ya kitoto zaidi inamfanya akuone kuwa hauko serious. Kama unaweza mpigie simu.