Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
<br />Natumani mu wazima wana jf. Naomba mnisaidie wanajf wenzangu kwa hili. mchumba wangu ameamua kunikimbia kisa sina hela. nimechanganyikiwa nisaidieni sijui la kufanya.
Bila shaka huyo demu ni mchaga wa Machame.
<br />Natumani mu wazima wana jf. Naomba mnisaidie wanajf wenzangu kwa hili. mchumba wangu ameamua kunikimbia kisa sina hela. nimechanganyikiwa nisaidieni sijui la kufanya.
Kasage chupa unyweNatumani mu wazima wana jf. Naomba mnisaidie wanajf wenzangu kwa hili. mchumba wangu ameamua kunikimbia kisa sina hela. nimechanganyikiwa nisaidieni sijui la kufanya.