kazuri kakid
Member
- Oct 6, 2021
- 15
- 118
Jamani habari zenu humu ndani.
Mimi niko kwenye mausiano na baba mmoja na nina muda naye mrefu tu. Tulikubaliana tusizae ni kuhook up tu pekee, jana tulikutana na alininyanyasa I can say so coz ilikua nje ya makubaliano yetu.
Tulikubaliana asikojolee ndani ukizingatia nilikuwa kwenye siku zangu, so hatukutumia kinga akakubali ila nilipoona anakaribia kumwaga nikawa namfosi amwage nje. Akanibana mikono kwa nguvu na kumwagia ndani. Kama haitoshi hakuchomoa akaendelea kama dakika kumi hivi then akachomoa.
Nilichukia na nikamchamba sana. Akawa analeta tu blah blah haeleweki. Nimemchukia ghafla na nataka nikamshtaki kama mimba itakuwa imeingia. Kuhusu magonjwa wote ni wazima shida ni mimba sitaki kuzaa kwa sasa.
Naombeni kufahamu utaratibu please isije niletea shida baadaye kwenye ndoa yangu.