Kaninyanyasa kijinsia nawezaje kumshtaki?

kazuri kakid

Member
Joined
Oct 6, 2021
Posts
15
Reaction score
118
Jamani habari zenu humu ndani.

Mimi niko kwenye mausiano na baba mmoja na nina muda naye mrefu tu. Tulikubaliana tusizae ni kuhook up tu pekee, jana tulikutana na alininyanyasa I can say so coz ilikua nje ya makubaliano yetu.

Tulikubaliana asikojolee ndani ukizingatia nilikuwa kwenye siku zangu, so hatukutumia kinga akakubali ila nilipoona anakaribia kumwaga nikawa namfosi amwage nje. Akanibana mikono kwa nguvu na kumwagia ndani. Kama haitoshi hakuchomoa akaendelea kama dakika kumi hivi then akachomoa.

Nilichukia na nikamchamba sana. Akawa analeta tu blah blah haeleweki. Nimemchukia ghafla na nataka nikamshtaki kama mimba itakuwa imeingia. Kuhusu magonjwa wote ni wazima shida ni mimba sitaki kuzaa kwa sasa.

Naombeni kufahamu utaratibu please isije niletea shida baadaye kwenye ndoa yangu.
 
Unalo hiliii dyadya, kila siku mnaambiwa kukojolea nje, ni sawa na boda boda yuko mwendo kibati afu aruke, thubutuuuuu.

Poleee subiri kulea mimba ya baba mtu mzimaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kah! 😁namuomba Mungu akuongoe wewe na mie 😁nacheka sijui nacheka nini hivi umesoma post yako tena kwani umebakwa???
 
Hivi unajua ladha ya kukojoa wewe binti? Huo umeme unaosafiri mwilini ni Watts za kutosha.

Kwanza huyo mbaba akakushtaki wewe, kwa manyanyaso ya kutaka kumuua. Mwenzako yupo kwenye usafie wa umeme unataka kumpigisha shoti.

Tena bado umemchamba. Ni manyanyaso. Mimi nitasimama kama wakili wake.

Kama hukutaka amwagie ndani ungetumia kondom.
 
Unataka kula pesa zake tu asikuzalishe
Zaa uwe single mother si mnataka kupangiwa
 
Asee, wote wezi Kumbe, ila umesoma vizuri ulichokiandika??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…