Kaninyanyasa kijinsia nawezaje kumshtaki?

We mtoto wa Mwl ........🤨
Hivi unajua bado haujafutiwa ile kesi ya kumjeruhi mh waz mdogo...🤔
 
Unalo hiliii dyadya, kila siku mnaambiwa kukojolea nje, ni sawa na boda boda yuko mwendo kibati afu aruke, thubutuuuuu.

Poleee subiri kulea mimba ya baba mtu mzimaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndo umchambe sasa
 
Hapa Ndo Pakupewa Toto Sio lako
 
Kwa Tanzania hii hakuna dawati au taasisi itakayokusikiliza. Wenzetu Ulaya na Marekani ndio wako very strict Katika Sheria za unyanyasaji wa kijinsia na kingono.
Jua kuwa hakuna makubaliano yanayohitaji maamuzi ya kisheria yasiyohitaji ushahidi, sasa wewe ushahidi wako ni upi ili uweleweke katika madai yako hayo?
Kama hutaki mimba Kuna njia mbadara ambazo ulipaswa uzichukue either kwa kutumia mpira au kumeza pregnant preventive pills baada ya mlichokifanya. Wewe hukuchukua hatua yoyote zaidi ya kumchamba jibaba lako alafu unasema hutaki mtoto, kwa hoja yako unaonekana wewe ndio mjinga. You have got some water in your cup whether you can drink or throw them.
 
We mpuuzi kweli yan hapo umenyanyaswa, kama umemvhoka why usiondoke kimyakimya, ulikipeleka kwa nini kama ulijua upo denja zon
 
Yaani unakula halafu unasema sitaki kushiba. Wewe kama hautaki kuzaa na mtu unafanya nae nini hicho mlichokuwa mnafanya?

Mabinti wa siku hizi ni wa hovyo sana. Mnajua sana kujitoa ufahamu kwenye mambo ya msingi. Hapo utaleta mtoto halafu utaanza msumbua tena malezi ya usingle mother.

Kwann usitafute mtu wa kueleweka ambaye mtakaa pamoja na kujenga familia badala ya kuhangaika kama bata anayetaka kutaka wewe mbuzi wewe matako yako.
 
Umeyataka mwenyewe ila mbona hela zake unakula hmumchambi ila hayo mengine nongwa?? Uwe unajitafakari saa nyingine
 
Agosh adwart jevudule ushamb ani vent vent tree
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…